iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Raundi ya kwanza ya Mashindano ya 45 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imepengwa kufanyika katika miezi ya Juni na Julai.
Habari ID: 3475111    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/11

TEHRAN (IQNA) – Mashindano maalumu ya Qur’ani Tukufu na adhana yanaendelea katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia ambapo zawadi zenye thamani ya dola milioni 3.2 zitatunukiwa washindi.
Habari ID: 3475099    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/08

TEHRAN (IQNA) - Katika taarifa yake, jopo la majaji limepongeza kiwango cha hali ya juu katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya mwaka huu nchini Iran.
Habari ID: 3475014    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/06

Waziri wa Utamaduni wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran aliutaja ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran kuwa ni dhihirisho la utimilifu wa mafundisho ya Qur'ani.
Habari ID: 3475013    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/06

Sherehe za kufunga Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran zimefanyika Jumamosi mjini Tehran ambapo walioshinda wametunukiwa zawadi
Habari ID: 3475012    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/06

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran yamemalizika Jumamosi jioni mjini Tehran huku miongoni mwa washindi wakiwa ni wawakilishi wa Kenya na Tanzania.
Habari ID: 3475011    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/05

TEHRAN (IQNA) - Qari wa Qur'ani Tukufu wa Iran anayetambulika kimataifa alisisitiza umuhimu wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran katika kukabiliana na propaganda dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3475008    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/05

TEHRAN (IQNA)- Mtaalamu wa masuala ya Qur'ani kutoka Morocco amepongeza utaratibu bora katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran mwaka huu.
Habari ID: 3475007    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/05

TEHRAN (IQNA) – Mtaalamu wa Qur'ani Tukufu wa Jordan ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutositisha mashindano yake ya kimataifa ya Qur'ani pamoja na kuwepo janga la corona.
Habari ID: 3475006    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/04

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran yanaendelea huku baadhi ya wanaoshindana wakishiriki ana kwa ana katika ukumbi na wengine wakishiriki kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474999    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/03

TEHRAN (IQNA)- Hatua ya mwisho ya mashindano ya 5 ya Qur'ani ya Katara ya Qatar itafanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani (Aprili).
Habari ID: 3474998    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/02

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu na Hadithi ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa ni tukio kubwa zaidi la Qur'ani Tukufu na Hadithi Duniani.
Habari ID: 3474996    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/02

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza mjini Tehran siku ya Jumatatu usiku.
Habari ID: 3474992    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/01

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Meshkat wametangazwa baada ya klipu zao kusikilizwa na jopo la majaji.
Habari ID: 3474985    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/28

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Idara ya masuala ya Qur'ani ya Shirika la Waqfu na Mambo ya Kheri amesema maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani yanayofanyika kila mwaka mjini Tehran yamekamilika.
Habari ID: 3474983    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27

TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Qur'ani, Itra na Sala cha Wizara ya Elimu na Malezi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vijana wadogo 20 wameingia kwenye fainali ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474981    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa Misri wameshinda kategoria zote za Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Port Said.
Habari ID: 3474969    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24

TEHRAN (IQNA)- Duru ya mwisho ya mchujo katika mashindano ya Qur’ani Tukufu ya wasichana imeanza nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Jumatatu.
Habari ID: 3474956    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/21

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran itafanyika kwa njia ya intaneti kama ilivyokuwa katika duru za mchujo.
Habari ID: 3474900    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07

TEHRAN (IQNA) Muhula wa kushiriki Mashidano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat yatafanyika kwa njia ya intaneti umeongezwa kwa siku tisa.
Habari ID: 3474899    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06