iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi takribani 50 wametangaza kuwa tayari kushiriki katika Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3474566    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya watoto Wapalestina yameanza Jumatano katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3474543    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11

TEHRAN (IQNA)- Matayarisho ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani yameanza huku nchi kadhaa zikiwa tayaris zimeshatangaza kuwa tayari kushiriki.
Habari ID: 3474490    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30

TEHRAN (IQNA) - Kina mama wa Kiislamu wametakiwa kuongeza juhudi katika kutimiza jukumu la kuandaa watoto wao kutokana na kukithiri kwa mmomonyoko wa maadili, kwani watoto wema na bora wanaanza na wazazi bora hasa kina mama.
Habari ID: 3474459    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya washiriki wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Iran mwaka huu imeongezeka mara tatu ikilinganishwa na mwaka jana.
Habari ID: 3474362    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30

TEHRAN (IQNA)- Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sina Tabbakhi ameibuka mshindi katika Mashindano ya 27 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu nchini Croatia.
Habari ID: 3474350    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/27

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 27 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Croatia imeanza Jumatano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Zagreb.
Habari ID: 3474330    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Wakfu la Kuwait limetangaza kuwa Duru ya 24 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu yanafanyika nchini humo.
Habari ID: 3474232    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27

TEHRAN (IQNA) - Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Dubai (DIHQA) imetangaza kuanza kukubali maombi ya toleo la 5 la mashindano ya Qur'ani kwa wanawake.
Habari ID: 3474216    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/22

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Misri yatafanyika mwezi Disemba kama ilivyopangwa, amesema waziri wa wakfu nchini humo Sheikh Mokhtar Gomaa.
Habari ID: 3474151    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametoa wito kwa Waislamu kufuata mafundisho ya Qur’ani Tukufu ili kuweza kukabiliana na madola ya kibeberu.
Habari ID: 3474108    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/17

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Qur’ani ya Tawjih na Irshad ya Lebanon imetangaza washiriki 10 bora wa Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur’ani ya Oula-al-Qiblatain.
Habari ID: 3474106    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/16

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani ya wanafunzi yamefanyika hivi karibuni nchini Uganda.
Habari ID: 3474015    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/17

TEHRAN (IQNA)-Vijana ambao waliwakilisha Ghana katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yaliyoandaliwa Morocco na Taasisi ya Mfalme Mohammad VI ya Maulamaa Waafrika wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473997    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/11

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika hivi karibuni nchini Uganda wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473966    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31

TEHRAN (IQNA)- Qarii Mtanzania ameibuka mshindi katika duru ya nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Taasisi ya Kijiji cha Utamaduni (Katara) nchini Qatar.
Habari ID: 3473896    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/10

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Pakistan kimeandaa mashindano ya Qur'ani katika mji wa Peshawar kwa mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473859    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/29

TEHRAN (IQNA)- Mashindnao ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu yamefanyika Jumapili Aprili 25 katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam na kuvutia maelfu ya wakazi wa mji huo.
Habari ID: 3473851    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/26

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 24 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’ani ya Dubai wametangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473849    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/25

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Aisha Sururu yamefanyika nchini Tanzania.
Habari ID: 3473841    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/22