TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Idara ya masuala ya Qur'ani ya Shirika la Waqfu na Mambo ya Kheri amesema maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani yanayofanyika kila mwaka mjini Tehran yamekamilika.
Habari ID: 3474983 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27
TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Qur'ani, Itra na Sala cha Wizara ya Elimu na Malezi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vijana wadogo 20 wameingia kwenye fainali ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474981 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27
TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa Misri wameshinda kategoria zote za Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Port Said.
Habari ID: 3474969 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24
TEHRAN (IQNA)- Duru ya mwisho ya mchujo katika mashindano ya Qur’ani Tukufu ya wasichana imeanza nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Jumatatu.
Habari ID: 3474956 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/21
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran itafanyika kwa njia ya intaneti kama ilivyokuwa katika duru za mchujo.
Habari ID: 3474900 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07
TEHRAN (IQNA) Muhula wa kushiriki Mashidano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat yatafanyika kwa njia ya intaneti umeongezwa kwa siku tisa.
Habari ID: 3474899 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Bandari ya Port Said Misri yamepangwa kuanza Februari 18.
Habari ID: 3474892 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05
TEHRAN (IQNA)-Wasimamizi wa Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran wametangaza majini ya waliofika katika fainali ya mashindano hayo itakayofanyika mwezi ujao ambapo miongoni mwa waliofuzu ni wawakilishi wa Kenya na Uganda.
Habari ID: 3474877 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/01
TEHRAN (IQNA)- Duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia itafanyika mwezi Septemba mwaka huu.
Habari ID: 3474854 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la kimataifa la kujadili mfumo na nidhamu ya pamoja ya majaji wa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani limemalizika Alhamisi katika mji wa Karbala nchini Iraq.
Habari ID: 3474834 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21
TEHRAN (IQNA)-Majaji wanaendelea kusikliza klipu zilizotumwa na washiriki wa awamu ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran.
Habari ID: 3474811 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15
TEHRAN (IQNA)- Duru ya Saba ya Mashindano ya Kimataifa ya Wanafunzi wa Shule itafanyika Iran kwa kushiriki wawakilishi wan chi 25.
Habari ID: 3474808 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15
TEHRAN (IQNA)- Duru ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran imeanza Jumatano na itaendelea kwa muda wa siku nne.
Habari ID: 3474804 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Algeria yatafanyika kwa njia ya intaneti, imetangaza Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini nchini humo.
Habari ID: 3474803 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13
TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat yatafanyika kwa njia ya intaneti ambapo washiriki watatakiwa kumuiga msomaji maarufu wa Qur'ani Marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3474797 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/12
TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Shirika la Wakfu la Iran amesema kuna haja ya kuundwa taasisi ya kimataifa ya nchi zinazoandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3474791 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10
TEHRAN (IQNA)- Duru ya mwisho ya Mashindano ya 26 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu ya Jeshi la Polisi Iran yatafanyika katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3474785 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09
TEHRAN (IQNA) – Duru ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imepangwa kuanzia Januari 9 mjini Tehran.
Habari ID: 3474780 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/08
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 44 ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamemalizika Ijumaa mjini Tehran.
Habari ID: 3474720 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/25
TEHRAN (IQNA) - Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza Jumatatu mjini Tehran.
Habari ID: 3474705 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21