iqna

IQNA

Waislamu nchini Marekani
Waislamu nchini Marekani, wamesema kuwa maneno ya chuki dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu yanayotolewa na viongozi wa chama cha Republican, ndiyo sababu ya kuongezeka hujuma na mashambulizi dhidi ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470193    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/12