Imam Ali (AS) Najaf, Iraq,
Siku ya Ashura inapokaribia, ua wa haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, ulifunikwa na zulia jekundu.
Habari ID: 3479122 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
Karbala ya Mwaka 1445
Shirika la Hija na la Iran limesema usajili kwa wale walio tayari kushiriki katika ziyara ya maombolezo ya kumbukumbu ya Arobaini ya Imamu Huseini (as) ya mwaka huu nchini Iraq yataanza Jumapili.
Habari ID: 3479073 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
Uchumi na Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la utalii wa Kiislamu ( Ziyarah ) lilifanyika Samarkand, Uzbekistan, ambapo wazungumzaji walisema utalii huo unaweza kupata pato la dola bilioni 230 ifikapo 2028.
Habari ID: 3476082 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13