iqna

IQNA

IQNA – Kitabu kipya kilichoandikwa kuhusu sayansi ya Qur’ani kimetangazwa rasmi kama rasilimali ya elimu kwa wanafunzi wa kiwango cha kwanza katika vyuo vya Kiislamu kote Iran.
Habari ID: 3480806    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/08

IQNA – Iran imetangaza kuwa itawapokea kwa mikono miwili wasomi na wanafunzi wa Kipalestina katika vyuo vikuu vya Iran kufuatia uharibifu mkubwa wa taasisi za elimu katika Ukanda wa Gaza kutokana na mashambulizi ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3480542    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/15

IQNA – Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi wa Kiislamu yako tayari kuanza, na maandalizi yanaendelea kwa ajili ya tukio hili maarufu.
Habari ID: 3480245    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/20

Watetezi wa Palestina
IQNA - Vuguvugu la wanafunzi wanaounga mkono Palestina, wanaokabiliwa na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel, limeenea kote nchini Marekani licha ya ukandamizaji wa polisi, huku wanafunzi wa vyuo vikuu vingi kama vile Yale, New York, Harvard, Texas huko Austin, na Kusini mwa California wakijiunga nayo.
Habari ID: 3478759    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/03

TEHRAN (IQNA)-Wakuu wa vyuo vikuu vya nchi za Kiislamu wamekutana Ankara, mji mkuu wa Uturuki na kujadili kuundwa Baraza Kuu la Kiislamu la Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3471091    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/27

Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Tanzania amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni mjumuiko wa viongozi wa baadaye wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470598    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/04

Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki kutoka nchi Zaidi ya 50.
Habari ID: 3470481    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameainisha malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kuifanya Iran kuwa na nguvu, heshima na huru na kusema kuwa vyuo vikuu ni msingi mkuu wa kufanikisha malengo hayo.
Habari ID: 3470398    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/19