iqna

IQNA

kisasa
Qur'ani Tukufu katika Maisha
TEHRAN (IQNA) - Kongamano limepangwa kufanyika katika mji mkuu wa Malaysia Disemba 3 kujadili masuluhisho ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za siku hizi.
Habari ID: 3476185    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02