Sura za Qur'ani Tukufu / 53
TEHRAN (IQNA) – Moja ya imani za Waislamu ni kuhusu safari ya Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kwenda mbinguni. Katika safari hii ya usiku, inayojulikana kama Mi’raj (kupanda), Mtume Muhammad (SAW) alisafiri kwenda mbinguni na kuzungumza na baadhi ya malaika, mitume wengine na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476353 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03