Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema zaidi ya Wapalestina milioni mbili huko Gaza (Ghaza) wanateseka kutokana na mzingiro wa miaka 16 wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3476492 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31