iqna

IQNA

Mumtahanah
Sura za Qur'ani Tukufu /60
TEHRAN (IQNA) – Makafiri na maadui wa Mwenyezi Mungu daima wamekuwa wakitafuta kuangamiza dini na kuwaondoa watu katika dini. Wakati fulani hutumia vita na dhuluma na wakati mwingine hunyoosha mkono wa urafiki na kujaribu kuwapotosha waumini kwa njia yoyote wanayoweza.
Habari ID: 3476515    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05