iqna

IQNA

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Rais Ramzan Akhmadovich Kadyrov, Jamhuri ya Chechnya yenye mamlaka ya ndani katika Shirikisho la Russia ametenga zawadi ya Ruble milioni 10 za Kirusi ambazo ni sawa na dola 168,000 za Kimarekani kwa atakayefanikisha kukamatwa akiwa hai, askari wa jeshi la Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuichoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu.
Habari ID: 3476730    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/19