iqna

IQNA

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Qarii wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Yunis Shahmoradi ni mmoja wa washiriki wanane waliofanikiwa kutinga nusu fainali ya mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Otr Elkalam nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3476804    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/03