makosa

IQNA

CAIRO – Vikosi vya usalama jijini Cairo, Misri, vimefunga duka la vitabu lililokuwa linafanya kazi bila kibali katika eneo la Darb al‑Ahmar baada ya kubainika kuwa lilikuwa likisambaza na kuuza nakala za Qur’ani Tukufu (Misahafu) bila kupata vibali vinavyotakiwa kisheria.
Habari ID: 3482234    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/13

IQNA – Mufti Mkuu wa Al-Quds na ardhi za Palestina ameonya kuhusu kusambazwa kwa nakala ya Qur’ani Tukufu yenye hitilafu ya uchapaji katika aya moja.
Habari ID: 3482137    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/12

IQNA – Mufti Mkuu wa al-Quds na Maeneo ya Palestina ametoa wito wa kukusanywa kwa nakala za Qur'ani ambazo hazijaidhinishwa rasmi.
Habari ID: 3480574    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21

Usomaji Qur'ani
IQNA - Redio ya Qur'ani ya Misri imempiga qarii mmoja mkuu kutokana na kufanya makosa katika kusoma Qur'ani Tukufu hivi karibuni.
Habari ID: 3478162    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07

Sheikh Mohammad Hashim Al Hakim, mwanachama wa Jumuiya ya Maulamaa wa Sudan ametahadharisha kuhusu kusambazwa nakala za Qur'ani nchini humo ambazo zina makosa ya chapa.
Habari ID: 3470450    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12