Ripoti yafichua
TEHRAN (IQNA)- Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, anatekeleza mpango ambao utawawezesha Waisraeli kununua milki katika miji mitakatifu ya Makka na Madina
Habari ID: 3475415 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23
Ibada ya hija
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Hija na Umrah wa Ufalme wa Saudi Arabia amesema wizara hiyo inatafakari kuongeza idadi ya raia wa Iran watakaoenda Hija mwaka huu.
Habari ID: 3475405 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Mamlaka ya Saudia ilitangaza Jumatatu kuondolewa kwa amri ya barakoa katika maeneo ya ndani huku Waislamu kutoka kote ulimwenguni wakiwasili kuanza nchhini humo kuanza ibada ya Hija.
Habari ID: 3475377 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)-Kundi la kwanza la Waislamu wa Iran wanaokwenda kutekeleza ibada tukufu ya Hija limeondoka Tehran leo asubuhi kwenda katika mji mtukufu wa Madina nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475368 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Mahujaji kutoka nchi Magharibi wanaokusudia kushiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu lazima sasa watume maombi kupitia tovuti ya serikali, Saudi Arabia ilisema.
Habari ID: 3475359 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/10
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Kundi la Mahujaji kutoka Indonesia walifika Madina siku ya Jumamosi wakiwa kundi la kwanza kuwasili katika Ufalme wa Saudia kutekeleza ibada za Hija baada ya kusitishwa kwa Waislamu walio nje ya Saudia kwa muda wa miaka miwili kutokana na corona
Habari ID: 3475338 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/05
Ukandamizaji
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Juu ya Saudia imeendeleza sera za kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia kwa kuidhinisha hukumu ya kuwanyonga vijana wawili raia wa Bahrain.
Habari ID: 3475275 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/21
Hija
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema inafanya mazungumzo na Saudi Arabia kuhusu kuruhusiwa kutekeleza ibada ya Hija Wairani waliopata chanjo iliyotegenezwa ndani ya Iran.
Habari ID: 3475265 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia katika kijiji cha Umm al Himam katika eneo la Qatifa nchini Saudia Arabia Jumatatu walishiriki katika dhifa ya futari ya umma kwa mara ya kwanza tokea lianze janga la corona.
Habari ID: 3475172 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/26
TEHRAN (IQNA)- Qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran Sayyed Jassem Mousavi amefika katika fainali ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475147 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/20
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa mji wa Winnipeg, mji mkuu wa jimbo la Manitoba Canada wamechanga pesa kwa ajili ya kuwasiadia Wayemen wanateseka kutokana na vita.
Habari ID: 3475110 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/10
TEHRAN (IQNA)- Mamlaka ya Saudia ilitangaza Jumamosi kwamba nchi hiyo itawaruhusu Waislamu milioni moja kushiriki katika ibada inayokuja ya Hija.
Habari ID: 3475104 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/09
TEHRAN (IQNA) – Mashindano maalumu ya Qur’ani Tukufu na adhana yanaendelea katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia ambapo zawadi zenye thamani ya dola milioni 3.2 zitatunukiwa washindi.
Habari ID: 3475099 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/08
Hossein Amir Abdollahian
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Iran iko tayari kwa ajili ya duru ya tano ya mazungumzo na Riyadh.
Habari ID: 3475080 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/27
TEHRAN (IQNA)- Moto umeteketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco huko Jeddah nchini Saudi Arabia, katika oparesheni za kijeshi za jeshi la Yemen na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wanaolipiza kisasi hujuma za muungano wa vita unaoongoza na Saudia.
Habari ID: 3475077 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani, utawala haramu wa Israel na Uingereza ndio wahandisi wa kushambuliwa na kukaliwa kwa mabavu taifa la Yemen tokea mwaka 2015 hadi sasa.
Habari ID: 3475076 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26
TEHRAN (IQNA)- Hatua ya utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia ya kuwanyonga watu 81 wakiwemo vijana 41 wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia imekbiliwa na upinzani mkali na jamii ya kimataifa, makundi na harakati za kisiasa katika nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3475034 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/13
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, vita dhidi ya Yemen vinaendeshwa na adui katika medani kadhaa na kuwa miongoni mwa silaha zinazotumiwa na adui dhidi ya Yemen ni vikwazo, masuala ya kiuchumi, na kuzusha mifarakano baina ya wananchi wa Yemen.
Habari ID: 3474941 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/18
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran na Saudi Arabia ni nchi muhimu katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu na akaeleza kwamba ana matumaini ushirikiano baina ya nchi hizo mbili utasaidia kutatua matatizo ya eneo na ya Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474889 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/04
TEHRAN (IQNA)- Duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia itafanyika mwezi Septemba mwaka huu.
Habari ID: 3474854 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26