Jinai za Saudia
TEHRAN (IQNA)- Saudi Arabia imemfunga jela miaka 15 daktari mmoja wa kike raia wa Tunisia kwa kuweka video ya maandamano ya kuiunga mkono Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon huko Tunisia.
Habari ID: 3475975 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23
TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja katika mkoa wa Ha'il nchini Saudi Arabia ulikuwa mwenyeji wa hafla ya kufunga mashindano ya Qur'ani kwa watu wenye ulemavu.
Habari ID: 3475972 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/22
Ukandamizaji Saudia
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya Ufalme Saudi Arabia imemhukumu mmoja wa wasomaji Qur'ani maarufu wa ufalme huo na mwanaharakati wa kisiasa kifungo cha miaka 12 jela.
Habari ID: 3475958 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/20
Maoneyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma za Qur’ani Tukufu katika lugha 76 ni miongoni mwa vitabu vilivyoonyeshwa katika maonyesho ya kimataifa ya vitabu yanayoendelea huko Riyadh, Saudi Arabia.
Habari ID: 3475915 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11
Hija ndogo ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Mamlaka ya Saudia inasema visa ya Hija Ndogo ya Umrah imeongezwa kutoka mwezi mmoja hadi mitatu kwa mataifa yote.
Habari ID: 3475875 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/03
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Waandaaji wa Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Mfalme Abdul Aziz huko Makka, Saudi Arabia wametangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3475843 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26
Jinai za Saudia nchini Yemen
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Kimataifa la Kupambana na Mateso limesema katika ripoti yake kwamba, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ndio chimbuko la ukame na njaa inayowakabili wananchi wa Yemen kutokana na kuiziingira nchi nchi hiyo.
Habari ID: 3475836 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25
Hali Saudia
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya 16 za Kiislamu duniani zimetoa tamko la kulaani hukumu kali za vifungo jela dhidi ya walinganiaji wa Kiislamu wa Saudi Arabia zilizotolewa hivi karibuni na mamlaka ya mahakama ya Saudia.
Habari ID: 3475785 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya awali ya Duru ya 42 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani imeanza nchini Saudi Arabia katika mji wa Makka.
Habari ID: 3475767 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11
Vita vya Saudia dhidi ya Yemen
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya muqawama (mapambano) ya Ansarullah ya Yemen ameushauri muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia kuchukua fursa ya usitishaji vita ili kukomesha uvamizi wake dhidi ya Yemen sambamba na kusitisha mzingiro wake dhidi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3475675 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24
Haraakti za Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho yanayohusiana na sekta ya uchapishaji Qur’ani Tukufu yamefanyika katika mji wa Asir nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475614 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12
Kususia Israel
TEHRAN(IQNA)- Oman imekataa kuidhinisha ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake, ikionekana kujiepusha kufuata nyayo za Saudi Arabia za kujikurubisha wazi wazi na utawala huo haramu.
Habari ID: 3475608 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11
Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Waumini ambao hawajachanjwa sasa wanaruhusiwa kuingia katika maeneo mawili matakatifu zaidi ya Uislamu ambayo ni Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) na Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) mjini Madina.
Habari ID: 3475574 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/03
Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) - Mamlaka ya Saudia inasema wanaoshiriki katika Hija ndogo ya Umrah wanahitaji kuvaa barakoa kwenye Msikiti Mtakatifu wa Makka kama hatua ya tahadhari kufuatia kuongezeka maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3475547 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Marais wa Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran (IRCS) na Mamlaka ya Hilali Nyekundu ya Saudia wamekutana mjini Mina mkoani Makka Jumapili, kujadili ushirikiano wa pande mbili.
Habari ID: 3475487 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11
Uchambuzi wa kisiasa
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa mtaalamu kutoka Ujerumani, mazungumzo kuhusu bei ya nishati na vile vile kutetea uhusiano wa kawaida kati ya Saudi Arabia na utawala wa Israel ni kati ya ajenda ya ziara ya kwanza ya Rais wa Marekani Joe Biden katika eneo la (Asia Magharibi) Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3475468 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/06
Ibada ya Hija na Umrah
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Iraq Musafa al Kadhimi ametekeleza Hija ndogo ya Umrah akiwa katika ziara rasmi nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475429 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26
Ripoti yafichua
TEHRAN (IQNA)- Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, anatekeleza mpango ambao utawawezesha Waisraeli kununua milki katika miji mitakatifu ya Makka na Madina
Habari ID: 3475415 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23
Ibada ya hija
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Hija na Umrah wa Ufalme wa Saudi Arabia amesema wizara hiyo inatafakari kuongeza idadi ya raia wa Iran watakaoenda Hija mwaka huu.
Habari ID: 3475405 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Mamlaka ya Saudia ilitangaza Jumatatu kuondolewa kwa amri ya barakoa katika maeneo ya ndani huku Waislamu kutoka kote ulimwenguni wakiwasili kuanza nchhini humo kuanza ibada ya Hija.
Habari ID: 3475377 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14