Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limelalamikia hatua ya banki moja ya nchi hiyo ya kuzifunga akaunti za fedha za Waislamu. Baraza la Mahusiano ya Kiislamu la Marekani sambamba na kulalamikia hatua hiyo ya Tawi la Banki ya Minessota limewataka maafisa wa benki hiyo kutoa maelezo kuhusiana na hatua hiyo isiyokubalika.
Habari ID: 1384501 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/09