iqna

IQNA

Wanamgambo wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram wa nchini Nigeria wametangaza kuasisi kile walichokitaja kuwa ni utawala wa “Khilafa” huko kaskazini mashariki mwa mji wa Gwoza.
Habari ID: 1443511    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/26