IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mheshimiwa Masoud Pezeshkian, ametoa wito wa kuimarishwa kwa umoja na ushirikiano miongoni mwa nchi za Kiislamu, akisisitiza kuwa mshikamano wa Ummah mzima wa Kiislamu ni nguzo muhimu katika kukabiliana na vitisho na changamoto zinazokabili eneo la Magharibi mwa Asia.
Habari ID: 3482292 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/27
IQNA – Eid al-Adha, ambayo ni miongoni mwa sikukuu adhimu zaidi katika Uislamu, ni ukumbusho wa kisa cha kihistoria cha imani, taslimu (kujisalimisha kwa Allah), na kujitolea.
Habari ID: 3482291 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/27
IQNA – Maelfu ya waumini wa Kiislamu wameadhimisha swala ya Eid al-Adha katika Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa, katika mji mtakatifu wa Al-Quds, siku ya Jumatano.
Habari ID: 3482290 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/27
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wametuma salamu za Idi kwa viongozi pamoja na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia Idul-Adh’ha.
Habari ID: 3366926 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24
Khatibu wa Sala ya Idul Adh'ha iliyosaliwa Jumapili asubuhi kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tehran amesema kuwa, iwapo Waislamu wataitumia vizuri ibada ya Hija, wakaamka na kuzitambua vizuri njia za kukabiliana na adui, kamwe Umma wa Kiislamu haut adha lilishwa.
Habari ID: 1457592 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/06