iqna

IQNA

Mwanamke Mwislamu mwenye umri wa miaka 27 ameteuliwa kuwa waziri wa elimu nchini Sweden na hivyo kumfanya kuwa waziri wa kwanza Mwislamu katika nchi hiyo ya Ulaya.
Habari ID: 1459694    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/12