Sheikh Ahmad Karima Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri amepigwa marufuku kufundisha na siku zijazo atafunguliwa mashtaka mahakamani, kwa kosa eti la kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 1470086 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/04