Rashid Ghannouchi

IQNA

Watetezi wa Palestina
TUNIS (IQNA) - Rached Ghannouchi, mkuu wa Chama cha Ennahda cha Tunisia, alielezea Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa kama zawadi kwa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3477934   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/23

Siasa
Kampeni imeanzishwa na wasomi wa Kiislamu wanaotaka kuachiliwa kwa wafungwa wa kisiasa nchini Tunisia. Miongoni mwa wafungwa wa kisiasa ni kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Ennahda, Rashid Ghannouchi.
Habari ID: 3477123   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/09