Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BEIRUT (IQNA) - Mwanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon alisisitiza haja ya serikali za Kiislamu kuchukua hatua ili kuzuia kurudiwa kwa kunajisi Qur'ani nchini Uswidi na Denmark.
Habari ID: 3477412 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/10
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Mawasiliano la Kiislamu la Iran (ICRO) ameyataja matukio ya hivi karibuni ya uchomaji moto wa Qur'ani barani Ulaya kuwa ni hatua ambazo zina mizizi ya Kizayuni.
Habari ID: 3477409 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/10
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BRUSSELS (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya alielezea kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kama "vitendo vya kutowajibika vya watu wasiowajibika".
Habari ID: 3477408 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/09
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
WASHINGTON, DC (IQNA) - Mwandishi maalum wa zamani wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba hakuna lengo halali kwa kuruhusu vikundi kuchoma vitabu vitakatifu.
Habari ID: 3477401 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/08
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Maandamano makali yalifanyika nchini Bangladesh baada ya makumi ya nakala za Qur’ani Tukufu kuchomwa moto katika nchi hiyo ya Kusini mwa Asia.
Habari ID: 3477397 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/08
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Ubalozi wa Iran nchini Denmark umelaani vikali vitendo vya mara kwa mara kwa mara vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu ndani ya taifa hilo la Nordic.
Habari ID: 3477393 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/07
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Wasomi mashuhuri nchini Uingereza wamelaani vitendo vya kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika nchi za Skandinavia na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya uchupaji mipaka vinapaswa kukomeshwa.
Habari ID: 3477387 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/06
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani (IUMS) aliona kususia huko kuwa chombo madhubuti dhidi ya nchi zinazounga mkono kuchomwa moto kwa Qur'ani Tukufu na akasema: Kususia ni mapinduzi na matakwa ya halali. Akizungumza katika kongamano la watetezi wa Qur'ani Tukufu ambacho kimefanyika hivi karibuni kwa njia ya intaneti, amesema Waislamu kote duniani wanawajibika katika kufanikishwa vikwazo hivyo.
Habari ID: 3477375 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/03
Watetezi wa Qur'ani
MOSCOW (IQNA) – Mkutano wa shakhsia wa Kiislamu na Kikristo nchini Urusi (Russia) ulifanyika mjini Moscow kulaani vitendo vya hivi majuzi vya kufuru na kuilenga Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
Habari ID: 3477374 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/03
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Msomi wa Malaysia anasema ili kujibu kiuchumi mashambulizi ya Wamagharibi dhidi ya Uislamu na Qur'ani Tukufu, mataifa ya Kiislamu yanahitaji kuelewa uwezo wao na kujenga umoja.
Habari ID: 3477373 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/03
Watetezi wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Washiriki katika kongamano la kimataifa ambalo limeitishwa kujadili njia za kukabiliana na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu wamesisitiza haja ya ulimwengu wa Kiislamu kuwa na umoja na mshikamano wa uhakika ili kkukabiliana na vitendo hivyo vya kufuru.
Habari ID: 3477372 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/02
Watetezi wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara nyingine tena Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amelaani vitendo vya karibuni vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Sweden na Denmark na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya kudhalilisha matukufu ya kidini havina tofauti na ukatili.
Habari ID: 3477371 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/02
Watetezi wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amewataka vijana wote wa Kiislamu wasisubiri kauli za jumuiya na mashirika bali wachukue hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya mtu aliyeichoma moto Qur'ani.
Habari ID: 3477370 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/02