iqna

IQNA

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Katika siku ya nne Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, makari na wahifadhi kadhaa kutoka mataifa tofauti walipanda jukwaani.
Habari ID: 3478384    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani
IQNA - Qari wa Algeria anayeshiriki katika Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran apongeza kauli mbiu ya mwaka huu ya tukio hilo adhimu la Qur'ani.
Habari ID: 3478383    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani
IQNA - Sambamba na Awamu ya 40 ya Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran, ambayo yamekuwa yakiendelea mjini Tehran tangu Alhamisi, nchi kote Iran kumeandaliwa vikao 270 vya usomaji Qur'ani katika miji tofauti.
Habari ID: 3478381    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Siku ya tatu ya kitengo cha wanawake katika Awamu ya 40 ya Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran ilishuhudia wahifadhi kutoka nchi 11 waliofaulu.
Habari ID: 3478380    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20

IQNA - Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaJamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliendelea Jumapili, Februari 18, huku washiriki wa mataifa mbalimbali wakipanda jukwaani.
Habari ID: 3478379    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/19

IQNA - Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaJamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliendelea Jumapili, Februari 18, huku washiriki wa mataifa mbalimbali wakipanda jukwaani.
Habari ID: 3478378    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/19

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA-Ustadh Mehdi Gholamnejad, msomaji au qari wa kimataifa wa Iran alisoma aya za Surah Hud na Kautha katika siku ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3478377    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/19

IQNA - Fainali ya Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran, kitengo cha wanawake ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yalianza Jumamosi.
Habari ID: 3478376    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Balozi wa Saudi Arabia nchini Iran amepongeza mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni muhimu sana na yenye thamani kubwa.
Habari ID: 3478374    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Programu kadhaa zimepangwa kando ya Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3478373    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18

Mashidano ya Qur'ani
IQNA - Siku ya pili ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ilishuhudia washindani 25 kutoka nchi mbalimbali wakionyesha ustadi wao wa kusoma na kuhifadhi kitabu kitakatifu huko Tehran siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3478371    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18

IQNA- Tizama video ya usomaji wa heshima wa Sheikh Ahmed bin Yusuf Al-Azhari, jaji wa kimataifa wa Qur'ani Tukufu kutoka Bangladesh. Anasoma kutoka aya ya 22 hadi 29 ya Surah Mutafifin na Surah Nas na Hamad katika kipindi cha mwisho ya siku ya kwanza ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3478369    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Kauli mbiu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran mwaka huu imechaguliwa kutokana na matukio ya kieneo na mauaji yanayoendelea ya Wapalestina huko Gaza, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478366    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/17

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Ijumaa ilikuwa siku ya kwanza ya Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran yanayofanyika mjini Tehran ambapo kulikuwa na washiriki 13 walipanda jukwani.
Habari ID: 3478365    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/17

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA-Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema, ujumbe wa Qur'ani ni ujumbe wa Muqawama na Jihadi na kuongeza kuwa, Iran inajulikana kwa harakati kubwa ya Qur'ani.
Habari ID: 3478359    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Ukumbi wa Picha
IQNA- Sherehe za ufunguzi wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefanyika leo Alhamisi tarehe 5 Shaaban 1445 Hijria Qamaria sawa na 15 Februari 2024.
Habari ID: 3478358    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Jopo la majaji wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linajumuisha wataalamu wa Qur'ani kutoka taifa mwenyeji pamoja na nchi nyingine nane.
Habari ID: 3478354    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA –Raundi ya mwisho ya toleo la 8 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanafunzi wa shule za Kiislamu duniani itaanza mjini Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478351    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Wakati duru ya mwisho ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran inakaribia, wakuu wa kamati za maandalizi ya tukio hilo la Qur'ani waliteuliwa.
Habari ID: 3478301    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Wataalamu kumi na sita mashuhuri wa Qur'ani Tukufu watahudumu katika jopo la majaji wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran katika hatua ya awali.
Habari ID: 3478100    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27