Ukumbi wa Picha
IQNA- Sherehe za ufunguzi wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefanyika leo Alhamisi tarehe 5 Shaaban 1445 Hijria Qamaria sawa na 15 Februari 2024.
Habari ID: 3478358 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Jopo la majaji wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linajumuisha wataalamu wa Qur'ani kutoka taifa mwenyeji pamoja na nchi nyingine nane.
Habari ID: 3478354 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA –Raundi ya mwisho ya toleo la 8 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanafunzi wa shule za Kiislamu duniani itaanza mjini Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478351 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Wakati duru ya mwisho ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran inakaribia, wakuu wa kamati za maandalizi ya tukio hilo la Qur'ani waliteuliwa.
Habari ID: 3478301 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Wataalamu kumi na sita mashuhuri wa Qur'ani Tukufu watahudumu katika jopo la majaji wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran katika hatua ya awali.
Habari ID: 3478100 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Hatua ya awali ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itaanza wikendi hii.
Habari ID: 3478095 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/26
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Tehran imeandaa shindano la kuchagua wawakilishi wa Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3478029 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13