rio de janeiro

IQNA

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri zimepata medali zao za kwanza za mashindano ya taekwondo ya wanawake katika michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Habari ID: 3470534   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/20

Wanariadha watatu Waislamu wameonyesha nguvu na taswira nzuri ya Uislamu katika michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Habari ID: 3470529   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/18