IQNA – Matembezi ya Arbaeen si tukio la kitamaduni pekee wala ibada ya kawaida, bali ni dhihirisho la falsafa ya kina ya ustaarabu na utu inayoyaita nyoyo za watu huru duniani kuelekea kwenye ukweli, uadilifu, na uhuru.
Habari ID: 3482586 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/04