TEHRAN (IQNA)-Wa palestina wasiopungua 54 walipoteza maisha mwaka 2017 baada ya utawala haramu wa Israel kuwanyima vibali vya kupata matibabu nje ya eneo lililochini ya mzingiro la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471392 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/15
TEHRAN (IQNA) Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amemuandikia barua Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akishukuru na kupongeza sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu Quds Tukufu.
Habari ID: 3471361 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/19
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya ametoa indhari kuhusu njama mpya za Marekani dhidi ya mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3471321 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/23
TEHRAN (IQNA)-Maulamaa wapatao 300 wa Kiislamu wamekutana Istanbul Uturuki na kutangaza kuwa uhusiano wowote wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni haramu.
Habari ID: 3471316 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/19
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran iko tayari kushirikiana na nchi za Kiislamu bila ya masharti yoyote kwa ajili ya kuitetea Quds tukufu na kusema adui mkubwa wa Wayahudi si Waislamu wala Waarabu bali ni mradi hatari sana wa Wazayuni.
Habari ID: 3471309 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/14
TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umemalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa yenye vipengee 26 inayosisitiza kuimarishwa umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kupambana na njama za maadui, ikiwemo njama mpya ya Marekani dhidi ya Quds Tukufu.
Habari ID: 3471300 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/08
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitisha kikao cha dharura kesho Ijumaa kuzungumzia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump wa kutangaza kutambua Baytul Muqaddas (Jerusalem) kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471299 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/07
TEHRAN (IQNA)-Tamasha la 'Waumini wa Qur'ani Tukufu na Ukombozi wa Msikiti wa Al Aqsa' limefanyika katika Msikiti wa Ammar ibn Yasir katika eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471245 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/03
TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa pili wa kimataifa wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama au mapambano ulianza hapo jana Jumatano katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kwa kaulimbiu ya "Umoja kwa ajili ya Palestina-Israel inaelekea kutoweka".
Habari ID: 3471244 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akiagiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.
Habari ID: 3471242 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/01
TEHRAN (IQNA)-Mkuu wa masuala ya kigeni wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, harakati hiyo ina hamu ya kustawisha uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga zote.
Habari ID: 3471229 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/24
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 16Septemba ni kumbukumbu ya ukatili wa kinyama uliotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kambi za Wa palestina za Sabra na Shatila mjini Beirut Lebanon.
Habari ID: 3471178 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/17
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umeulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuzuia maendeleo pamoja na kuzorotesha hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zilizo katika eneo la Quds Mashariki, Ukingo wa Maghribi na Ukanda wa Ghaza katika kipindi cha zaidi ya miaka 50 ya kukalia kwa mabavu maeneo hayo.
Habari ID: 3471173 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/14
TEHRAN (IQNA)- Agosti 21 miaka 48 iliyopita, yaani mwaka 1969 Miladia, Msikiti wa al-Aqsa Kibla cha Kwanza cha Waislamu ulihujumiwa na kuteketezwa moto na Wazayuni kwa himaya ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3471136 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/22
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambon ya Nje wa Iran amesema Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za Kiislamu OIC inapaswa kujikita katika malengo yake makuu ambayo ni kuimarisha umoja na mshikamano wa Kiislamu, kukomesha uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina
Habari ID: 3471099 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Hija ni fursa bora ya mahali na wakati kwa Umma wa Kiislamu kutangaza misimamo kuhusu kadhia ya Palestina, msikiti wa Al-Aqsa na uwepo wenye malengo maovu wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3471094 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/30
TEHRAN- (IQNA)-Askari wa utawala wa Kizayuni wa israel wamewavamia Wa palestina waliofanya mgomo wa kukaa kitako katika msikiti wa Al-Aqsa na kuwatia nguvuni zaidi ya watu mia moja.
Habari ID: 3471092 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/28
TEHRAN (IQNA)-Taasisi za Kiislamu Palestina zimechukua hatua za pamoja kupinga vizingiti vilivyowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa al-Aqsa.
Habari ID: 3471084 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/25
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba 'unacheza na moto' kutokana na kushadidisha ukandamizaji dhidi ya Wa palestina wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3471082 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/24
TEHRAN (IQNA)-Wanajeshi 15,000 wa utawala wa Kizayuni wa Israel leo wameuzingira msikiti wa al-Aqsa na kuwazuia Waislamu kuswali Ijumaa huku kukiwa na sheria kali za usalama.
Habari ID: 3471077 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/21