Genge la Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakipata himaya ya askari wa utawala haramu wa Israel wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3470347 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/30
Kiongozi wa Hizbullah
Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio tishio kuu kwa usalama na amani Mashariki ya Kati
Habari ID: 3470337 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/26
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu kuendelea kuunga mkono mapambano ya taifa linalodhulumiwa la Palestina katika makabiliano yake na utawala ghasibu wa Israel unaokalia Quds Tukufu kwa mabavu.
Habari ID: 3470315 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/16
Jamii ya kimataifa imeingiwa na wasiwasi kutokana na kushahidi jinai za utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3470299 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/07
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yanataka kulidhibiti eneo la Magharibi mwa Asia kupitia vita vikubwa na vipana dhidi ya mrengo wa Uislamu.
Habari ID: 3470283 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01
Idadi ya watoto wadogo wa Ki palestina wanaozuiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.
Habari ID: 3470267 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24
Viongozi waandamizi wa utawala ghasibu wa Kizayuni wa Israel wamezidi kuonesha ukatili wao baada ya kushindwa kukabiliana na Intifadha ya Quds
Habari ID: 3470237 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/09
Walowezi wa Kizayuni wasiopungua 1,000 waliokuwa wakisindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel wamevamia na kulivunjia heshima kaburi la Nabii Yusuf (AS), ziara linaloheshimiwa na Wayahudi, Wakristo na Waislamu.
Habari ID: 3470234 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/08
Utawala wa Kizayuni wa Israel umenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wa palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3470200 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/16
Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imetoa wito wa kususiwa bidhaa za zinazozalishwa na utawala haramu wa Israel aktika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470186 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08
Wa palestina wengine wawili wameuawa shahidi katika hujuma za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wa palestina wasio na hatia.
Habari ID: 3463972 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16
Wa palestina hii wanashiriki katika maandamano makubwa yaliyopowa anuani 'Ijumaa ya Ghadhabu' ilikulaani jina za utawala haramu wa Israel na kuunga mkono mapambano na intifadha au mwamko dhidi ya utawala huo.
Habari ID: 3462045 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11
Wanajeshi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza hujuma zao za kidhalimu dhidi ya Wa palestina kwa kuuhujumu Msikiti katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3457989 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatetea kwa uwezo wake wote harakati ya wananchi wa Palestina.
Habari ID: 3457216 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/26
Sayyid Hassan Nasrullah
Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, moyo wa kutaka shahada na kuuawa shahidi daima ni silaha imara zaidi mbele ya adui.
Habari ID: 3447507 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/12
Mkuu wa kundi kubwa zaidi la Mayuhudi wanaoishi Amerika ya Kaskazini amekosoa sera potofu za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3444264 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07
Sayyed Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema utawala haramu wa Israel unahofia mwamko au Intifadha ya Wa palestina .
Habari ID: 3444016 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07
Amnesty yalaani ukatili wa Israel
Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameishambulia hospitali katika wa Quds, inaoukalia kwa mabavu, baada ya wakuu wa hospitali hiyo kukataa kutoa taarifa kuhusu Wa palestina waliotibuwa hapo.
Habari ID: 3415418 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/30
Wanajeshi wa utawala katili wa Kizayuni wanaendelea kufanya jinai katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kama vile Ukingo wa Magharibi na Ukanda Ghaza.
Habari ID: 3407233 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/28
Makumi ya maelfu ya raia wa Morocco wamefanya maandamano makubwa mjini Casablanca kupinga hujuma za utawala haramu wa Israel katika msikiti wa al-Aqsa.
Habari ID: 3395088 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/27