Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) –Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuna siku Wa palestina watarejea katika ardhi zao ambazo sasa zinakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3472194 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/31
TEHRAN (IQNA) – Wa palestina yametoa wito kwa jamii ya kimataifa ichukua hatua za kuulinda Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3472183 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/22
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa inaendeleza mchakato wa kufunga ubalozi wake katika utawala wa Israel mwaka mmoja baada ya kumuondoa balozi wake Tel Aviv.
Habari ID: 3472173 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/15
TEHRAN (IQNA) – Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki, ambaye yuko New York kuhudhuria mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema nchi yake itaendelea kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3472145 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/23
TEHRAN (IQNA) – Wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel wamebomoa msikiti wa Wa palestina katika mji wa al Khalil eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472111 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/03
TEHRAN (IQNA) - Ismail Hania Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemuandikia barua Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kushukuru yale aliyoyazungumza katika mkutano wake na ujumbe wa harakati hiyo uliofanya ziara hapa mjini Tehran hivi karibuni .
Habari ID: 3472110 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/02
TEHRAN (IQNA) – Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewafyatulia risasi na kuwajeruhi makumi ya Wa palestina waliokuwa wakiandamana kwa amani katika Ijumaa ya 72 ya maandamano ya 'Haki ya Kurejea' huko katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3472107 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/31
Katika Siku ya Kimataifa ya Msikiti
TEHRAN (IQNA)- Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mjini Tehran amezikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya kuukomboa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3472094 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/21
TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umewapiga marufuku wabunge wawili wa chama cha Democrat nchini Marekani Rashida Tlaib na Ilhan Omar kuingia ardhi za Palestina.
Habari ID: 3472086 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/16
TEHRAN (IQNA) -Jumuiya za kimataifa na taasisi kadhaa za kutetea haki za binadamu duniani zimelaani jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kubomoa nyumba za Wa palestina kusini mwa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3472054 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/23
Balozi wa Palestina Tehran
TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Palestina nchini Iran amesema utawala haramu wa Israel unapaswa kusitisha ukaliaji mabavu ardhi za Palestina huku akisisitiza kuwa, Palestina ni lazime irejee kwa Wa palestina .
Habari ID: 3472037 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/09
TEHRAN (IQNA)- Aghalabu ya Wa palestina wanapinga vikali mpango wa Muamala wa Karne na kikao cha uchumi kulichofanyika hivi karibuni mjini Manama, Bahrain.
Habari ID: 3472019 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/27
Sheikh Issa Qassim
TEHRAN (IQNA) - Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Bahrain, Ayatullah Sheikh Isa Qassim amelaani vikali hatua ya utawala wa Manama kuwa mwenyeji wa Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kuanza leo nchini humo kwa shabaha ya kuzindua mpango wa 'Muamala wa Karne'.
Habari ID: 3472017 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/25
TEHRAN (IQNA) – ‘Muamala wa Karne’ ambao umependekezwa na Marekani kwa lengo la kuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kukandamiza ukombozi wa Palestina unaendelea kupingwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3472016 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/24
Iran na Hamas zasisitiza:
TEHRAN (IQNA) - Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimesema utawala wa rais Donald Trump wa Marekani unalenga kuangamiza taifa la Palestina kupitia 'Muamala wa Karne' ulio kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3472004 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/16
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekumbusha kuhusu pendekezo la Jamhuri ya Kiislamu la kufanyika kura ya maoni ya kuainisha hatima ya taifa la Palestina.
Habari ID: 3471988 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu suala la Palestina na njama za uhaini za Marekani kupitia mpango wake wa 'Muamala wa Karne' ni kadhia ya kwanza kwa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3471987 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesem siri ya kuendelea kubakia hai na kuwa na mvuto fikra za Imam Khomeini MA, inatokana na sifa maalumu ya shakhsia na tunu aliyopewa na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3471986 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/05
TEHRAN (IQNA) – Mamillioni ya wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo wametangaza azma yao ya kuendelea kuunga mkono ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3471978 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/31
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kususia kongamano ambalo Marekani imeitisha nchini Bahrain ambalo Wa palestina wanamini kuwa linalenga kusambaratisha haki zao.
Habari ID: 3471973 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/27