Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Pamoja na kuwa waitifaki wa utawala wa Kizayuni wanaibua migogoro mara kwa mara ili kadhia ya Palestina isahaulike, lakini ardhi hii takatifu itakombolewa kwa baraka za muqawama na jihadi ya taifa na makundi ya Palestina".
Habari ID: 3470743 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/14
Njama mpya
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha njama mpya katika Msikiti wa Al Aqsa kwa kuongeza masaa ambayo Wazayuni wanaruhusiwa kuwa ndani ya msikiti huo yaani kuuhujumu.
Habari ID: 3470720 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/06
IQNA-Wa palestina 16 katika familia moja wamehifadhi Qur'ani kikamilifu katika Ukanda wa Ghaza
Habari ID: 3470696 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/24
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana ya Sala ya Alfajiri katika misikiti mitatu iliyo katika mji wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470658 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06
Balozi wa Iran nchini Tanzania anayeondoka
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ambaye muda wake umemalizika amesema, kadhia ya kukombolewa Quds Tukufu ni kadhia muhimu zaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu na miongoni mwa watetezi wa uhuru duniani.
Habari ID: 3470622 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/20
Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kiongozi pekee wa Kiarabu aliyehudhuria mazishi ya rais wa zamani wa utawala bandia wa Israel, maarufu kama katili wa Qana.
Habari ID: 3470587 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/30
Rais wa zamani wa utawala haramu wa Israel, katili Shimon Peres ameaga amekufa usiku wa kuamkia leo, wiki mbili baada ya kupatwa na kiharusi
Habari ID: 3470583 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/28
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi wa Ki palestina katika Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na kumuua shahidi kijana M palestina .
Habari ID: 3470549 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/05
Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Al Aqsa yanafanyika katika Ukanda wa Ghaza kwa usimamizi wa Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kiislamu Palestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470512 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/10
Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali safari ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Saudi Arabia katika utawala wa Kizayuni wa Israel wiki jana.
Habari ID: 3470484 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/31
Mashindano ya kitaifa ya kusoma Qur’ani kwa kuzingatia misingi ya Tajweed yamefanyika Palestina kuanzia Julai 24.
Habari ID: 3470476 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26
Waziri mmoja katika utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka viongozi wa ngazi za juu wa Hamas watekwe nyara.
Habari ID: 3470439 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08
Sayyid Nasrullah:
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa lengo la kutangazwa Siku ya Kimataifa ya Quds ni kubakisha hai kumbukumbu ya Quds tukufu na kuwafanya Waislamu wasisahau eneo na msikiti huo mtakatifu.
Habari ID: 3470427 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/02
Ijumaa ya mwisho ya kila mwezi mtukufu wa Ramadhani katika kalenda ya matukio ya dunia, imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470425 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Waislamu kote duniani watajitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kwa lengo la kuwaunga mkono Wa palestina wanaodhulimiwa.
Habari ID: 3470424 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/30
Seyed Hossein Naqavi
Mbunge wa ngazi za juu nchini Iran amesema kadhia ya Palestina ndio muhimu zaidi kwa Waislamu na hivyo ametoa wito wa ushiriki mkubwa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470422 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/29
Kamandi ya Majeshi yote ya Iran imetoa wito kwa wote katika ulimwengu wa Kiislamu kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa hii.
Habari ID: 3470419 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28
Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Quds limepangwa kufanyika katika Ijumaa y Mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dakar, Senegal kwa lengo la kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470401 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20
Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakatia huduma za maji Wa palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan licha ya joto kali na hitajio kubwa la bidhaa hiyo muhimu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470391 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/16
Magenge ya walowezi wa Kizayuni wakiwa chini ya humaya ya askari wa utawala haramu wa Israel Jumpili wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470363 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/06