iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Ulimwengu wa Kiislamu umelaani hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuufunga Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu baada ya oparesheni ya Wa palestina dhidi wanajeshi wa Kizayuni karibu na msikiti huo.
Habari ID: 3471067    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15

TEHRAN (IQNA)-Wa palestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa katika oparesheni dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
Habari ID: 3471066    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14

Waziri Mkuu wa India safarini Tel Aviv
TEHRAN (IQNA)-Narendra Modi, Waziri Mkuu wa India anatembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel na kukutana na wakuu wa utawala huo wa Kizayuni lakini hatakutana na viongozi wa Palestina.
Habari ID: 3471051    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/05

TEHRAN (IQNA)- Kumefanyika kikao cha siri mjini Cairo kati ya nchi kadhaa za Kiarabu na Utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mustakabali wa eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471041    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/29

TEHRAN (IQNA) Waislamu na watetezi wa haki Tanzania na Kenya wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471033    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/24

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Utawala haramu wa Israel limeua shahidi watoto zaidi ya 3,000 Wa palestina tangu ulipoanza mwamako wa pili wa Wa palestina maarufu kama Intifadha mwezi Septemba 2000.
Habari ID: 3471004    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/02

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3470978    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/13

TEHRAN (IQNA)-Kamati ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Utamaduni na Sayansi UNESCO Jumanne ilipitisha azimio ambalo liliulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kukiuka sheria za kimataifa katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470966    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/03

TEHRAN (IQNA)-Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim AS.
Habari ID: 3470934    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/14

TEHRAN (IQNA) Brazil imeulaani utawala wa Israel kwa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina.
Habari ID: 3470919    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/05

IQNA-Maelfu ya Wa palestina wameandamana kupinga sheria ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupiga marufuku adhana katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
Habari ID: 3470890    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/12

IQNA: Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamewateka nyara Wa palestina kadhaa akiwemo mbunge mwanamke katika oparesheni ya Alhamisi.
Habari ID: 3470888    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/10

Rais Hassan Rouhani wa Iran
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina ndiyo kadhia muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel ni utawala pandikizi, mzaliwa wa Magharibi unaovunja haki za binadamu.
Habari ID: 3470865    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22

Taarifa ya mwisho ya mkutano wa Tehran kuhusu Palestina
IQNA-Taarifa ya mwisho ya Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina uliomalizika leo hapa mjini Tehran limesisitizia udharura wa kulindwa kadhia ya Palestina ambayo ni kipaumbele cha kwanza cha nchi ulimwengu wa Kiislamu na za Kiarabu na ndilo zingatio kuu la fikra za walio wengi duniani.
Habari ID: 3470864    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kisa kilichojaa machungu na kuzijeruhi nyoyo za watu kutokana na dhulma wanayofanyiwa raia wa Palestina wenye uvumilivu, subira na mapambano, kinamgusa kila mwanadamu mpigania uhuru, haki na uadilifu kote duniani.
Habari ID: 3470862    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/21

IQNA: Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Palestina wakati nchi zingine zimeegemea upande wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3470861    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/21

IQNA: Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina utafanyika tarehe 21 na 22 Februari katika mji mkuu wa Iran, Tehran.
Habari ID: 3470856    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19

IQNA- Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeidhinisha ujenzi wa wa nyumba mpya 566 za walowezi wa Kizayuni katika mji wa Baitul Muqaddas Mashariki unaoukalia kwa mabavu kinyume cha azimio la Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3470809    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/23

IQNA: Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kuwaalika makuhani wa Kizayuni wanaotaka Wa palestina waangamizwe kwa umati.
Habari ID: 3470767    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30

IQNA- Ijumaa katika usiku wenye baridi kali mjini New York, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha azimio nambari 2334 linaloitaka Israel isitishe mara moja ujenzi huo katika ardhi zilizoghusubiwa za Palestina.
Habari ID: 3470758    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/24