Utawala wa Kizayuni wa Israel umenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wa palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3470200 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/16
Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imetoa wito wa kususiwa bidhaa za zinazozalishwa na utawala haramu wa Israel aktika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470186 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08
Wa palestina wengine wawili wameuawa shahidi katika hujuma za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wa palestina wasio na hatia.
Habari ID: 3463972 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16
Wa palestina hii wanashiriki katika maandamano makubwa yaliyopowa anuani 'Ijumaa ya Ghadhabu' ilikulaani jina za utawala haramu wa Israel na kuunga mkono mapambano na intifadha au mwamko dhidi ya utawala huo.
Habari ID: 3462045 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11
Wanajeshi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza hujuma zao za kidhalimu dhidi ya Wa palestina kwa kuuhujumu Msikiti katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3457989 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatetea kwa uwezo wake wote harakati ya wananchi wa Palestina.
Habari ID: 3457216 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/26
Sayyid Hassan Nasrullah
Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, moyo wa kutaka shahada na kuuawa shahidi daima ni silaha imara zaidi mbele ya adui.
Habari ID: 3447507 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/12
Mkuu wa kundi kubwa zaidi la Mayuhudi wanaoishi Amerika ya Kaskazini amekosoa sera potofu za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3444264 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07
Sayyed Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema utawala haramu wa Israel unahofia mwamko au Intifadha ya Wa palestina .
Habari ID: 3444016 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07
Amnesty yalaani ukatili wa Israel
Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameishambulia hospitali katika wa Quds, inaoukalia kwa mabavu, baada ya wakuu wa hospitali hiyo kukataa kutoa taarifa kuhusu Wa palestina waliotibuwa hapo.
Habari ID: 3415418 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/30
Wanajeshi wa utawala katili wa Kizayuni wanaendelea kufanya jinai katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kama vile Ukingo wa Magharibi na Ukanda Ghaza.
Habari ID: 3407233 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/28
Makumi ya maelfu ya raia wa Morocco wamefanya maandamano makubwa mjini Casablanca kupinga hujuma za utawala haramu wa Israel katika msikiti wa al-Aqsa.
Habari ID: 3395088 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/27
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limekosoa uchokozi wa wazi wa utawala haramu wa Israel katika ardhi za Wa palestina unazozikalia kwa mabavu hasa katika msikiti wa al Aqsa ulio katika mji Quds au Jerusalem.
Habari ID: 3391462 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21
Jeshi la Israel limewaua shahidi Wa palestina wapatao 46 tangu kuanza Intifadha au mwamko mpya mapema mwezi huu wa Oktoba.
Habari ID: 3390450 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/19
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Lebanon ya Hizbullah amewapongeza wanaharakati wanaopigania ukombozi wa Palestina kwa kujitolea muhanga na kusimama kidete katika Intifadha ya 3 inayoendelea hivi sasa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds Tukufu.
Habari ID: 3388690 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/18
Jumapili wanajeshi wa utawala haramu wa Israel waliushambulia na kuuvunjia heshima tena Msitiki wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu suala lililozusha mapigano makali baina ya askari hao na Waislamu waliokuwa msikiti hapo wakitekeleza ibada.
Habari ID: 3372690 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/28
Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama kujadili hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds.
Habari ID: 3365554 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/20
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleaza hujuma dhidi ya msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3365118 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/19
Jumapili ya jana msikiti mtakatifu wa al-Aqsa kwa mara nyingine tena ulivamiwa na Wazayuni waliojumuisha wanajeshi, polisi na Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada ambapo damu za makumi ya Wa palestina zilimwagwa kiholela katika tukio hilo.
Habari ID: 3362433 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/14
Harakati za makundi yanayowaunga mkono wananchi wa Palestina na kutetea haki za binadamu dhidi ya safari iliyopangwa kufanywa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na mazungumzo yake na viongozi wa Uingereza zimeshadidi na kushika kasi zaidi.
Habari ID: 3358320 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05