TEHRAN (IQNA)- Ripoti ya Umoja wa Mataifa imebaini kuwa yamkini utawala haramu wa Israel umetenda jinai za kivita au jinai dhidi ya binadamu katika oparesheni zake za kijeshi zinazowalenga Wa palestina katika Ukanda wa Ghaza
Habari ID: 3471857 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/01
TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemkamata mkuu wa Idara ya Wakfu inayosimamia maeneo matakatifu ya Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) .
Habari ID: 3471852 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/25
TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumanne waliuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) na kuwajeruhi Wa palestina waliokuwa wakifanya ibada katika eneo hilo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu.
Habari ID: 3471847 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/20
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kimataifa ya Maulama wa Kiislamu imelaani vikali mkutano wa hivi karibuni baina ya maafisa wa ngazi za juu wa nchi za Kiarabu na Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel huko Warsaw, Poland.
Habari ID: 3471846 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/19
Waziri Mkuu Mahathir Mohamad
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesisitiza Jumatatu kuwa nchi yake inashikilia msimamo wake wa kuwazuia raia wa utawala haramu wa Israel kuingia nchini humo huku akiitaja Israel kuwa utawala wa kihalifu.
Habari ID: 3471824 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/29
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala haramu wa Israel limeua zaidi ya Wa palestina 254 na kuwajeruhi wengine wasiopungua 23,000 tokea yaanze 'Maandamano Makubwa ya Haki ya Kurejea' ambayo yalianza kufanyika kila Ijumaa kuanzia Machi 30 mwaka 2018.
Habari ID: 3471816 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/23
TEHRAN (IQNA)- Wazayuni wameshindwa kubatilisha uamuzi wa mahakama ya Uingereza ambaye imekataa kumfungulia mashtaka mwanaharakati wa Palestina kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mjini London mwaka 2017.
Habari ID: 3471807 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/15
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina itaendelea kuwa taifa lenye nguvu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, katika kipindi kisicho mbali sana taifa hilo litaweza kupata ushindi wa mwisho.
Habari ID: 3471792 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/31
TEHRAN (IQNA)-Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameua watoto 54 Wa palestina mwaka huu wa 2018.
Habari ID: 3471779 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/20
TEHRAN (IQNA)- Uhusiano rasmi baina ya Utawala wa Kizayuni wa Israel na Utawala wa Kifalme Saudi Arabia unatazamiwa kutangazwa rasmi katika kipindi cha miezi michache ijayo.
Habari ID: 3471765 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/09
TEHRAN (IQNA) Kanali yaTelevisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mchambuzi wake wa muda mrefu kwa sababu ya kukosoa ukatili na udhalimu wa utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Habari ID: 3471757 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/01
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: Mapambano (muqawama) ya Palestina yamevuruga mahesabu ya adui na kubadilisha mlingano wa nguvu.
Habari ID: 3471742 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/15
TEHRAN (IQNA) - Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewapiga risasi na kuwaua shahidi wapigania ukombozi kadhaa wa Palestina akiwemo kamanda mmoja wa ngazi za juu huko Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471739 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/12
TEHRAN (IQNA)- Afrika Kusini imesisitiza kuwa sera zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel zinabaki pale pale.
Habari ID: 3471695 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/29
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefyatua kombora kuelekea katika uzio wa Ghaza na kuua shahidi Wa palestina wawili na kujeruhi wengine kadhaa.
Habari ID: 3471678 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/18
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Wa palestina Jumanne wameswali Sala ya Idul Adha katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471642 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/22
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeutahadahrisha vikali utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na hatua yake ya kushadidisha mzingiro katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471599 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hatima ya Palestina inapaswa kuamuliwa na Wa palestina wenyewe kupitia kura ya maoni yenye kuwajumuisha Wa palestina Waislamu, Wakristo na Mayahudi ambao wana asili na waliishi katika ardhi ya jadi ya Palestina.
Habari ID: 3471553 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/11
TEHRAN (IQNA)- Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem) yamefanyika leo kote duniani kwa lengo la kuunga mkono ukombozi wa Palestina na kulaani utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3471547 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/08
Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani amesema: Siku ya Quds ni siku ya kihistoria ya kupaza mayowe dhidi ya madhalimu na kulihami taifa linalodhulumiwa ambalo kwa muda wote wa miaka 70, watu wake wamehamishwa kidhulma kwenye nyumba na makazi yao.
Habari ID: 3471546 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/07