iqna

IQNA

kusilimu
Waislamu Ulaya
IQNA - Mwigizaji wa Uholanzi Donnie Roelvink amesilimu siku ya Ijumaa, Aprili 19, kwa kutamka Shahadah.
Habari ID: 3478714    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22

Kuenea Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Daktari huyu Mfaransa aliyekuwa akiishi Morocco na mji wa "Al-Nazour" kwa muda mrefu aliamua kutangaza kusilimu kwake.
Habari ID: 3477112    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07

Uislamu barani Ulaya
TEHRAN (IQNA) – Mwanamke mmoja huko Plymouth, kusini magharibi mwa Uingereza, alikubali Uislamu baada ya kusoma Qur’ani Tukufu mara nne katika muda wa mwezi mmoja.
Habari ID: 3475726    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03

Mmarekani mfeministi aliyesilimu
TEHRAN (IQNA)- Theresa Corbin aliwahi kuwa mfeministi sugu nchini Marekani lakini baada ya kupata nuru ya uwongofu, aliondoka katika Ukristo na kusilimu na sasa anazungumzo kuhusu yaliyomvutia katika Uislamu.
Habari ID: 3474559    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/15

TEHRAN (IQNA) Mnyanyua vyuma wa kike kutoka Latvia, ambaye aliwahi kuwa bingwa wa dunia, Bi. Rebecca Koha ametangaza kusilimu .
Habari ID: 3473005    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali AS mjini Stockholm, Sweden kimeandaa mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya intaneti .
Habari ID: 3472762    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13

TEHRAN (IQNA) – Mkaazi wa Canterbury, New Zealand anasema alivutiwa na Uislamu na kuamua kusilimu baada ya hujuma dhidi ya misikiti katika mji wa Christchurch nchini humo.
Habari ID: 3472091    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/19

Bi. Marziyah Hashemi
TEHRAN (IQNA) – Mmarekani-Muirani mwenye asili ya Afrika, Bi. Marzieh Hashemi anasema msingi wa Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu) ni nukta ambayo ilimvutia katika Uislamu na kumfanya asilimu.
Habari ID: 3471967    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/21

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya watu 30 kutoka nchi mbali mbali wameukumbatia Uislamu maishani baada ya kutembelea Haram Takatifu ya Bibi Masoomah SA katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran katika kipindi cha mwaka moja uliopita.
Habari ID: 3471821    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/27

Balozi wa Uingereza nchini Saudi Arabia, Simon Collis, ametekeleza ibada ya Hija mwaka huu baada ya kusilimu .
Habari ID: 3470563    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/14