imam hussein as - Ukurasa 10

IQNA

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia siku hizi za maombolezo na kukumbuka mauaji ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW na kusema: "Taifa la Iran limepata ushindi kwa kusimama kidete na kupambana na njama za madola makubwa, na ushindi huo umetokana na kufuata utamaduni wa Ashura."
Habari ID: 3473107   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/26

TEHRAN (IQNA) – Baada ya kuanza Muharram, mwezi wa kwanza wa Hijria Qamari , hafla maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS zinafanyika katika mji mkuu wa Iran, Tehran na miji mingine kote Iran.
Habari ID: 3473106   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/26

TEHRAN (IQNA) –Idara ya Polisi katika jimbo la Karbala nchini Iraq imetangaza kuwa ni marufuku kwa watu wasio wakaazi kuingia katika jimbo hilo hadi tarehe 13 Muharram inayosadifiana na 2 Septemba.
Habari ID: 3473099   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/24

TEHRAN (IQNA) – Katika usiku wa kwanza wa mwezi wa Muharram, ambao ni kwanza wa Hijriya Qamariya, kumeanza maombolezo wakati huu wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika eneo la Haram takatifu za Al Kadhimiya huko, Baghdad, Iraq na meneo mengine ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473093   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrallah ametoa wito kwa Waislamu kujikuza kiroho, kisaikolojia na kiakili katika maombolezo ya Mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3473089   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/21

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Afya ya Iran imetangaza maelekezo ya kiafya ambayo yanapaswa kufuatwa katika wa maombolezo ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3473032   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/04

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa iwapo vijana watasimama kidete katika njia iliyonyooka na ya haki, basi wataweza kuleta mabadiliko katika taifa la Iran na dunia nzima kwa ujumla.
Habari ID: 3472180   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/19

Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesisitiza kuwa, uwepo wa mamilioni ya watu mjini Karbala ni jambo lisilo na mfano katika historia na kwamba Marekani, utawala haramu wa Kizayuni, mabeberu na madhalimu wa dunia wanahisi hofu kubwa kwa kushuhudia matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Hussein AS
Habari ID: 3472179   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/19

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya Waislamu na wasiokuwa Waislamu wanakusanyika katika mji mtakatifu wa Karbaka nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki katika shughuli ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3472177   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/18

TEHRAN (IQNA) – Wairani zaidi ya milioni tatu wamejisajili kushiriki katika matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
Habari ID: 3472168   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, matembezi ya Arubaini yanaendelea kuchukua sura ya kimataifa na kuongeza kuwa: "Ujumbe wa Imam Hussein AS ni wa kuikomboa dunia kutoka katika utawala wa kambi ya ukafiri na uistikbari."
Habari ID: 3472137   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/18

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema mbele ya mjumuiko mkubwa wa Waislamu katika maombolezo ya Siku ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS kwamba, vita vyovyote vile dhidi ya Iran vitakuwa na maana ya kuangamizwa na kufutwa katika uso wa dunia, dola pandikizi la Israel.
Habari ID: 3472123   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/10

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya Waislamu kote duniani hii leo wanaomboleza katika siku ya Ashura ambayo ni siku aliyouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3472122   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/10

TEHRAN (IQNA) – Waislamu kote duniani usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo na kukumbuka misiba na masaibu yaliyomkuta mjukuu wa Mtume wetu Muhammad SAW, Imam Hussein bin Ali AS, ndugu na mswahaba zake waaminifu huko Karbala nchini Iraq mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3472121   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/09

TEHRAN (IQNA) - Mijumuiko ya Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein AS" imefanyika leo Ijumaa katika zaidi ya maeneo elfu sita katika Iran ya Kiislamu na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3472117   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/06

TEHRAN (IQNA)- Wafanyaziara takribani milioni 15 wamewasili mjini Karbala Iraq kwa lengo la kushiriki Arobaini ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471723   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/29

TEHRAN (IQNA) Mamilioni ya Waislamu, hasa Mashia, wamejitokeza katika maeneo mbali mbali kote duniani kukumbuka tukio chungu la Siku ya Ashura, siku ambayo aliuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471681   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/20

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala Saudi Arabia wamewashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa wakishiriki katika maombolezo ya Mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3471670   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/14

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Wajdi Mubarak mmoja katia ya wanazuoni wa Kishia nchini Saudi Arabia ametaka kuwepo ushirikiano kamili baina ya waumini na maafisa wa usalama nchini humo katika maadhimisho ya Siku ya Ashura.
Habari ID: 3471664   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/09

TEHRAN, (IQNA)-Leo mamilioni ya watu wanashiriki katika maombolezo kwa munasaba wa Arubaini ya Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS, ambapo kilele cha maombolezo hayo ni Karbala, Iraq.
Habari ID: 3471255   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/09