iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Waislamu kote duniani usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo na kukumbuka misiba na masaibu yaliyomkuta mjukuu wa Mtume wetu Muhammad SAW, Imam Hussein bin Ali AS, ndugu na mswahaba zake waaminifu huko Karbala nchini Iraq mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3472121    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/09

TEHRAN (IQNA) - Mijumuiko ya Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein AS" imefanyika leo Ijumaa katika zaidi ya maeneo elfu sita katika Iran ya Kiislamu na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3472117    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/06

TEHRAN (IQNA)- Wafanyaziara takribani milioni 15 wamewasili mjini Karbala Iraq kwa lengo la kushiriki Arobaini ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471723    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/29

TEHRAN (IQNA) Mamilioni ya Waislamu, hasa Mashia, wamejitokeza katika maeneo mbali mbali kote duniani kukumbuka tukio chungu la Siku ya Ashura, siku ambayo aliuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471681    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/20

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala Saudi Arabia wamewashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa wakishiriki katika maombolezo ya Mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3471670    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/14

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Wajdi Mubarak mmoja katia ya wanazuoni wa Kishia nchini Saudi Arabia ametaka kuwepo ushirikiano kamili baina ya waumini na maafisa wa usalama nchini humo katika maadhimisho ya Siku ya Ashura.
Habari ID: 3471664    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/09

TEHRAN, (IQNA)-Leo mamilioni ya watu wanashiriki katika maombolezo kwa munasaba wa Arubaini ya Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS, ambapo kilele cha maombolezo hayo ni Karbala, Iraq.
Habari ID: 3471255    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/09

TEHRAN (IQNA)-Wafanyaziara milioni tatu Wairani wanatazamiwa kufika katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471238    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/30

TEHRAN (IQNA) Siku ya leo inasadifiana na mwezi 10 Muharram 1439 Hijria, siku ya kukumbuka wakati damu ilipoushinda upanga kwa ushujaa wa Imam Hussein AS na wafuasi wake wachache katika jangwa la Karbla la Iraq ya leo.
Habari ID: 3471200    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/01

Msomi wa Ahul Sunna nchini Lebanon
TEHRAN (IQNA)-Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Ahlul Sunna nchini Lebanon amesema mwamko wa Imam Hussein AS dhidi ya utawala wa kiimla na kidhalimu wa Yazid.
Habari ID: 3471188    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/23

IQNA- Waislamu zaidi ya milioni 20 wamekusanyika Karbala nchini Iraq kwa ajili ya Arubaini ya mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470688    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/21

IQNA-Wafanyaziara zaidi ya milioni 1.5 wa kigeni (bila kuhesabu Wairani) wameingia Iraq kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470681    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/17

Katika msafara ya Arubaini ya Imam Hussein AS
IQNA- Jeshi la Nigeria limeua Waislamu zaidi ya100 wa madhehebu ya Shia kwa kuwapiga risasi kiholela kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470676    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/14

Tuko katika siku hizi za kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470608    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/12

Hawza Imam Swadiq (a.s) na Masjid al Ghadiir katika mji wa Dar es Salaam Tanzania imeshuhudia tukio la kupandishwa Bendera ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470604    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/08