imam hussein as - Ukurasa 4

IQNA

Arbaeen 1446
IQNA – Mkutano wa nane wa Kimataifa wa Matemberzi ya Arbaeen umefanyika Karbala, Iraq na wanazuoni kutoka nchi 35 wamejadili ufahamu wao kuhusu tukio hilo ambalo mwaka huu limewaleta Pamoja wafanyaziara milioni 21.
Habari ID: 3479354    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/30

Arbaeen 1446
IQNA - Hija ya Arbaeen ina uwezo mkubwa wa kuunda vuguvugu la kimataifa dhidi ya dhuluma na ukandamizaji, mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Tanzania amesema.
Habari ID: 3479336    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27

Harakati za Qur'ani
IQNA – Kikao cha usomaji Qur'ani Tukufu na  Ibtihal kilifanyika katika Msikiti wa Imam Hussein (AS) huko Cairo, mji mkuu wa Misri.
Habari ID: 3479335    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27

Arbaeen 1446 H
IQNA-Mamilioni ya Waislamu kutoka nchi mbalimbali duniani wanakusanyika kwenye mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ili kuadhimisha kumbukumbu ya Arubaini au Arbaeen, inayoashiria siku ya 40 baada ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein (AS), katika ardhi ya Karbala hapo mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3479326    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25

Arbaeen 1446
IQNA – Mwanazuoni na mtafiti wa Iraq aliangazia nafasi ambayo matembezi ya Arbaeen yanaweza kuwa nayo katika kukuza fikra kuhusu Umahdi yaani itikadi ya Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake)
Habari ID: 3479323    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24

Arbaeen 1446
IQNA – Jumba la Makumbusho la Al-Kafeel, lenye mafungamano na Haram Takatifu ya Hazrat Abbas (AS), limeweka Mawkib kwenye barabara ya Najaf-Karbala ili kuwahudumia wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479301    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19

Arbaeen 1446
IQNA - Mawkib kwa ajili ya wafanyaziara au mazuwar wa Arbaeen wanaozungumza Kiingereza itazinduliwa Karbala, Iraq, katika siku zijazo.
Habari ID: 3479298    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19

Arbaeen 1446
IQNA - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mohammad Reza Aref amesisitiza haja ya kutoa huduma bora kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479287    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/16

Arbaeen 1446
IQNA - Msomi wa chuo kikuu nchini Iran ameyataja matembezi ya ya kila mwaka ya Arbaeen kama dhihirisho la nguvu za ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3479267    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/12

Arbaeen 1446
IQNA - Afisa wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa (SAW) anasema maelfu ya wanafunzi kutoka chuo hicho watashiriki matembezi ya Arbaeen mwaka huu ili kueneza mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3479261    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11

Arbaeen 1446
IQNA - Rais Masoud Pezeshkian wa Iran aliipongeza serikali ya Iraq kwa uratibu na ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ili kuimarisha huduma zinazotolewa kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479226    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04

Arbaeen 1446
IQNA - Jumla ya mawkib 3,500 za Iran zitatayarishwa kuhudumia wafanyaziara takribani milioni tano katika matembezi ya mwaka huu ya Arbaeen (Arobaini au Arba'in).
Habari ID: 3479175    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/23

IQNA - Waislamu wa madhehebu ya Shia walifanya maombolezo ya Muharram huko mjini Leicester, Uingereza, siku ya Jumapili mchana kwa ajili ya kukumbuka maisha na kuuawa shahidi Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479138    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/16

Mtume (SAW
Qur'ani Tukufu inasisitiza katika aya nyingi kwamba pamoja na utii kwa Mwenyezi Mungu, kumtii Mtume (SAW) na Ulul Amr pia ni Wajib (wajibu).
Habari ID: 3479121    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14

IQNA - Wanazuoni waandamizi wa Bahrain walisisitiza ulazima wa kutumia uwezo wote kutangaza ujumbe wa Imam Hussein (AS) kuhusu mauaji aliyofanyiwa siku ya Ashura.
Habari ID: 3479097    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/09

Arbaeen
IQNA - Balozi wa Iran nchini Iraq Mohammad Kazem Al Sadeq amesema kuimarika kila mwaka mjumuiko na matembezi ya Arbaeen kama mfano wa utamaduni adhimu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478699    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/19

Jumatano ya leo ya tarehe 6 Septemba 2023 inasadifiana na maombolezo ya Arubaini ya Imam Husain AS, yaani siku ya 40 tangu Imam Husain AS na wafuasi wake watiifu walipouawa kinyama kwenye jangwa la Karbala mwezi 10 Mfunguo Nne Muharram, mwaka wa 61 Hijria.
Habari ID: 3477555    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/06

Arabaeen 1435
BAGHDAD (IQNA) - Wizara ya mambo ya ndani ya Iraq imesema zaidi ya wafanyaziara milioni 3.4 wa kigeni wameingia katika nchi hiyo ya Kiarabu tangu kuanza kwa msimu wa Arbaeen.
Habari ID: 3477546    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/04

Arbaeen 1435
TEHRAN (IQNA) – Mtazamo wa muono wa mbali wenye kuainisha mwelekeo kwa safari ya kidini au Ziara ya Arabeen ni muhimu sana.
Habari ID: 3477537    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/02

Arbaeen 1435
TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa Arbaeen ni kwamba lazima tujitahidi katika njia ya haki na kuhuisha ukweli katika hali zote.
Habari ID: 3477523    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/30