iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kituo kimoja cha Qur’ani nchini Iraq kinatoa mafunzo ya qiraa sahihi ya Qur’ani tukufu kwa wanaoshiriki katika matembezi na ziara ya siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474322    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/21

TEHRAN (IQNA)- Iraq imeafiki kuwaruhusu Wairini 60,000 kushiriki katika ziyara na mjumuiko wa siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
Habari ID: 3474292    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13

TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 5 ya Kongamano la Kimataifa la Arubaini ya Imam Hussein AS limefanyika kwa muda wa siku mbili mjini Karbala Iraq.
Habari ID: 3474291    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13

TEHRAN (IQNA)- Wakaazi wa mji wa Basra kusini mwa Iraq wameanza matembezi ya kuelekea katika mji mtakatifu wa Karbala kushiriki katika Ziyara ya Arobaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474268    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/07

TEHRAN (IQNA)- Askari polisi nchini Nigeria Alkhamisi waliwashambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein (AS) na kuua watu watatu na kujeruhi wengine wasiopungua 12.
Habari ID: 3474211    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/21

TEHRAN (IQNA)- Naibu Mkuu wa mkoa wa Karbala nchini Iraq ametangaza kuwa mazuwari takribani milioni sita wamehiriki katika maombolezo ya Imam Hussein AS yaliyofanyika katika Siku ya Ashura hapo jana kwenye mji huo mtakatifu.
Habari ID: 3474209    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/20

TEHRAN (IQNA)- Kufahamu historia na yaliyopita kunapaswa kumpelekea mwanadamu aweze kutafakari na kujitayarisha kwa ajili ya kujenga mustakabali mwema.
Habari ID: 3474207    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/19

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu kwa mnasaba wa Siku ya Ashura na kusema, 'kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu)"
Habari ID: 3474206    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/19

TEHRAN (IQNA)- Leo ni Siku ya Ashura. Siku kama ya leo miaka 1382 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria, moja kati ya vita mashuhuri katika historia ya Kiislamu na ya mwanadamu, vilitokea baina ya majeshi ya haki na batili katika ardhi ya Karbala huko Iraq.
Habari ID: 3474205    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/19

TEHRAN (IQNA)- Watu kote Iran wanaendelea na mijimuiko kwa ajili ya kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu 72 katika janga la Karbala mwaka 61 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3474203    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18

Katika mkesha Tasu'a ya Imam Hussein AS, waislamu, hasa wa Madhehebu ya Shia wameghiriki katika maombolezo kwa mnasaba wa siku hii.
Habari ID: 3474202    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18

TEHRAN (IQNA) - Kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu kitafanyika Alfajiri ya Siku ya Ashura katika msikitini katika eneo la Rey mjini Tehran.
Habari ID: 3474199    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/17

TEHRAN (IQNA) – Kwa kumuomboleza Imam Hussein AS haungazii tu yaliyopita bali pia ni kuangazia na kujenga mustakabali.
Habari ID: 3474194    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/16

TEHRAN (IQNA)- Imesisitizwa sana kuandaa na kushiriki katika Majlisi za kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3474189    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kwa sasa harakati ya Hizbullah ni nembo kubwa ya muqawama na ina taathira ya kustaajabisha kitaifa na pia kikanda.
Habari ID: 3474188    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14

TEHRAN (IQNA)- Hafla za Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein AS" zimefanyika leo Ijumaa katika maeneo mbalimbali hapa nchini Iran na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3474186    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/13

TEHRAN (IQNA)- Kuna msema usemao "Kila siku ni Ashura na kila ardhi ni Karbala." Lakini maana yake ni nini haswa?
Habari ID: 3474183    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/12

TEHRAN (IQNA)- Kuna umuhimu wa kuiangazia kadhia ya Siku ya Ashura kwa mtazamo wa kitaalamu na kina badala ya kufahamu tu tukio lilivyojiri.
Habari ID: 3474177    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/10

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho maalumu yamezinduliwa katika eneo la Rey, kusini mwa Tehran kwa lengo la kuonyesha vifaa vinavyotumika katika maombolezo ya Muharram.
Habari ID: 3474166    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07

TEHRAN (IQNA) - Wairaki zaidi ya milioni moja wamewasili katika Haram ya Imam Husain AS huko Karbala kuwawakilisha mamilioni ya wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW ambao mwaka huu wameshindwa kwenda Iraq kushiriki kumbukumbu hizo kutokana na corona.
Habari ID: 3473241    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/08