IQNA- Waislamu zaidi ya milioni 20 wamekusanyika Karbala nchini Iraq kwa ajili ya Arubaini ya mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470688 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/21
IQNA-Wafanyaziara zaidi ya milioni 1.5 wa kigeni (bila kuhesabu Wairani) wameingia Iraq kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470681 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/17
Katika msafara ya Arubaini ya Imam Hussein AS
IQNA- Jeshi la Nigeria limeua Waislamu zaidi ya100 wa madhehebu ya Shia kwa kuwapiga risasi kiholela kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470676 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/14
Tuko katika siku hizi za kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470608 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/12
Hawza Imam Swadiq (a.s) na Masjid al Ghadiir katika mji wa Dar es Salaam Tanzania imeshuhudia tukio la kupandishwa Bendera ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470604 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/08