IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Iran ameelezea kuwa Surat al-Fajr katika Qur'an Tukufu ni sura iliyo na uhusiano wa karibu sana na urithi wa Imam Hussein (AS), akiitaja kuwa ni tafakuri ya kina kuhusu falsafa ya mapinduzi ya Karbala.
Habari ID: 3480918 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/09
IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Misri amesema kuwa lengo la mapinduzi ya Imam Hussein (Aleyhi Salaam) lilikuwa kufufua roho na kiini halisi cha dini, wakati ambapo maadili na thamani sahihi za Kiislamu zilikuwa zimepotea, na kilichobakia ni maumbo ya nje tu ya ibada na mila za dini.
Habari ID: 3480914 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/08
IQNA – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetoa taarifa mchana wa Jumapili ikitangaza mafanikio ya utekelezaji wa mpango wa usalama kwa ajili ya maombolezo ya mwaka huu ya Siku ya Ashura mjini Karbala.
Habari ID: 3480913 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/07
IQNA – Tukio la jadi wa maombolezo ya Ashura unaojulikana kama Rakdha Tuwairaj limefanyika mjini mtakatifu wa Karbala, Iraq, siku ya Jumapili.
Habari ID: 3480911 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/07
IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Iran amesema kuwa mwamko wa Imam Hussein (AS) dhidi ya Yazid bin Muawiya unabaki kuwa mfano wa milele wa kupambana na dhulma za zama hizi na uonevu wa kimataifa.
Habari ID: 3480908 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/06
IQNA – Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq una nafasi ya kipekee katika mioyo ya watu wote.
Habari ID: 3480907 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/06
IQNA-Jumapili ya leo ya tarehe 6 Julai inasadifiana na mwezi kumi Muharram 1447 Hijria, siku ya A'shura ya kukumbuka kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhamma (SAW), mmoja wa mabwana wawili wa vijana wa peponi, Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3480905 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/06
IQNA-Maelfu kwa maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika mji mtukufu wa Karbala nchini Iraq, usiku wa Ashura, kuadhimisha kuuawa shahidi kwa Imam Hussein (AS), katika mojawapo ya hafla kubwa zaidi za kidini katika kalenda ya Kiislamu.
Habari ID: 3480904 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/06
IQNA – Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, amekataa wazo la kusalimisha au kuachana na silaha za harakati hiyo ya mapambano, akisema kuwa wanaotaka hilo wanapaswa kwanza kulaani na kutaka mwisho wa uvamizi wa Israeli dhidi ya Lebanon.
Habari ID: 3480902 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/05
IQNA – Utamaduni wa Ashura hauangalii kufa shahidi kama mwisho wa safari bali ni mwanzo wa kuamsho wa mataifa, amesema mwanazuoni kutoka Iran.
Habari ID: 3480900 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/05
IQNA – Wasimamizi wa Haram ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq wametangaza kukamilika kwa maandalizi katika milango yote ya kuingilia kaburi hilo takatifu kwa ajili ya kuwapokea waumini wanaoshiriki katika tukio la kuomboleza linalojulikana kama Tuwairaj.
Habari ID: 3480899 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/05
Imam Hussein (AS) katika Qur'an /4
IQNA – Nusra ya Mwenyezi Mungu hujitokeza kwa namna mbalimbali kwa manabii wa Mwenyezi Mungu na waumini wa kweli.
Habari ID: 3480897 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/06
Imam Hussein (AS) katika Qur'an /3
IQNA – Imani juu ya Raj’a (kurejea duniani) katika mwamko wa Imam Hussein (AS) pamoja na masahaba wake waaminifu, hubeba baraka nyingi za kiroho na maadili.
Habari ID: 3480896 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/05
IQNA – Idara ya kiufundi na uhandisi ya Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq imetangaza kutekelezwa kwa mradi maalumu wa kiyoyozi unaolenga kuwawekea mazingira mazuri kwa ajili ya wafanyaziara ji katika siku za maombolezo ya Muharram.
Habari ID: 3480894 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/04
Imam Hussein (AS) katika Qur’an – Sehemu ya 2
IQNA – Dhulma aliyoipata Imam Hussein (AS) ni ya wazi na ya kina kiasi kwamba inaweza kuchukuliwa kuwa ni taswira halisi ya baadhi ya aya tukufu za Qur’ani.
Habari ID: 3480887 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/03
IQNA – Mwanazuoni mashuhuri kutoka Iran amesisitiza umuhimu mkubwa wa mapinduzi ya Imam Hussein (AS) katika kufufua uhai wa Uislamu wa kweli na kufichua unafiki uliokuwa umejificha ndani ya umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3480882 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/02
Imam Hussein (AS) katika Qur’ani Tukufu
IQNA – Baadhi ya aya za Qur’an Tukufu zinamhusu, Imam Hussein (AS), ambaye ni shakhsia adhimu na mtukufu katika Uislamu.
Habari ID: 3480878 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/01
IQNA – Mwanazuoni na mtafiti wa Kiislamu amesisitiza umuhimu wa kimataifa na wa milele wa harakati ya Imam Hussein (AS), akiuelezea kama ujumbe wa kibinadamu unaowagusa watu wote, bila kujali dini wala asili.
Habari ID: 3480875 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/30
IQNA – Pamoja na kuwasili kwa mimu wa huzuni katika mwezi wa Muharram, mitaa inayoelekea kwenye makaburi matakatifu ya Imam Hussein (AS) na Hazrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, imeanza kushuhudia maombolezo makubwa.
Habari ID: 3480865 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/28
IQNA-Iran imetangaza kaulimbiu rasmi ya matembezi adhimu ya ya Arbaeen mwaka 1447 (2025), ni Inna Ala Al-Ahd" (Tuko Katika Ahadi") ili kuonyesha uaminifu kwa maadili ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3480646 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06