TEHRAN (IQNA)- Imesisitizwa sana kuandaa na kushiriki katika Majlisi za kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3474189 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kwa sasa harakati ya Hizbullah ni nembo kubwa ya muqawama na ina taathira ya kustaajabisha kitaifa na pia kikanda.
Habari ID: 3474188 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14
TEHRAN (IQNA)- Hafla za Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein AS" zimefanyika leo Ijumaa katika maeneo mbalimbali hapa nchini Iran na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3474186 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/13
TEHRAN (IQNA)- Kuna msema usemao "Kila siku ni Ashura na kila ardhi ni Karbala." Lakini maana yake ni nini haswa?
Habari ID: 3474183 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/12
TEHRAN (IQNA)- Kuna umuhimu wa kuiangazia kadhia ya Siku ya Ashura kwa mtazamo wa kitaalamu na kina badala ya kufahamu tu tukio lilivyojiri.
Habari ID: 3474177 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/10
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho maalumu yamezinduliwa katika eneo la Rey, kusini mwa Tehran kwa lengo la kuonyesha vifaa vinavyotumika katika maombolezo ya Muharram.
Habari ID: 3474166 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07
TEHRAN (IQNA) - Wairaki zaidi ya milioni moja wamewasili katika Haram ya Imam Husain AS huko Karbala kuwawakilisha mamilioni ya wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW ambao mwaka huu wameshindwa kwenda Iraq kushiriki kumbukumbu hizo kutokana na corona.
Habari ID: 3473241 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/08
TEHRAN (IQNA)- Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumza katika mkesha wa Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS na kukumbusha kuhusu jinai za mtawala wa zamani wa Iraq, Saddam, dhidi ya wafanyaziara wa Siku ya Arubaini.
Habari ID: 3473240 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/08
TEHRAN (IQNA) - Waislamu, aghalabu wakiwa ni wa madhehebu ya Shia, kutoka kila kona za Iraq wako katika matembezi ya wiki kadhaa ya kuelekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arobaini ya Iman Hussein AS.
Habari ID: 3473232 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/05
TEHRAN (IQNA) - Kama miaka iliyopita, Waislamu, aghalabu wakiwa ni wa madhehebu ya Shia, wameanza matembezi ya kuelekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arobaini ya Iman Hussein AS.
Habari ID: 3473225 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/03
Idadi kubwa ya wapenzi na waombolezaji wa Imam Hussein AS wameanza kutembea kwa miguu kutoka maeneo ya kusini mwa Iraq wakielekea Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arobaini ya mtukufu huyo katika mwezi huu wa Safar.
Habari ID: 3473195 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/23
Waislamu wa mji wa Arusha nchini Tanzania walijimuika na wenzao duniani katika kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.
Habari ID: 3473128 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/01
TEHRAN (IQNA) - Mijumuiko ya Jioni ya Ashura imefanyika katika miji mbali mbali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3473122 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31
Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa kambi ya unafiki.
Habari ID: 3473121 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa mji wa Lamu katika pwani ya Kenya wamejumuka na wenzao duniani katika kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.
Habari ID: 3473120 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31
Ayatullah Sheikh Isa Qassim
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchini Bahrain amesema, mapambano dhidi ya ufanyaji mapatano na Israel ni mfano mmojawapo wa mapambano matakatifu ya Imam Hussein AS dhidi ya Yazid.
Habari ID: 3473119 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/30
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) – Katibu mkuu wa Harakati ya Hizbullah Sayyid Hassan Nasrallah amesema balozi za kigeni mjini Beirut zinahusika katika njama dhidi ya harakati hiyo.
Habari ID: 3473118 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/30
TEHRAN (IQNA)- Mamillioni ya watu kote duniani wameshiriki katika maombolezo ya mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS, ambaye aliuawa katika siku kama ya leo ambayo ni maarufu kama Ashura.
Habari ID: 3473117 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/30
TEHRAN (IQNA) -mamilioni ya Waislamu wa Iran na maeneo mengine ya dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua huku wakizingatia kanuni za kiafya ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3473114 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/29
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia siku hizi za maombolezo na kukumbuka mauaji ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW na kusema: "Taifa la Iran limepata ushindi kwa kusimama kidete na kupambana na njama za madola makubwa, na ushindi huo umetokana na kufuata utamaduni wa Ashura."
Habari ID: 3473107 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/26