Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa 36 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatarajiwa kufanyika wiki ijayo hapa jijini Tehran kwa kuhudhuriwa na makumi ya shakhsia wa kidini wa ndani na nje ya nchi kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
Habari ID: 3475907 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 36 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litafanyika mjini Tehran kuanzia tarehe 17 hadi 22 Oktoba kwa kuhudhuriwa na wasomi na wanafikra kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475898 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08
Msomi wa Algeria
TEHRAN (IQNA) – Msomi na mwanafikra wa Qur’ani wa Algeria anasema umoja baina ya nchi za Kiislamu ni jambo la lazima na unapaswa kufikiwa katika nyanja tofauti.
Habari ID: 3475409 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22
TEHRAN (IQNA)- Msomi mmpja wa Pakistan ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuandaa kila mwaka kongamano la kimataifa la umoja wa Kiislamu na kusema hatua hiyo ni huduma kubwa wa Waislamu duniani.
Habari ID: 3474450 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21
TEHRAN (IQNA) –Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limepengwa kufanyika mwezi Oktoba kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474240 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/30
TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm wameshiriki katika maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa (Maulid) Mtume Muhammad SAW na pia uzawa wa mjukuu wake, Imam Jaafar Swadiq AS.
Habari ID: 3473322 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02
Mwanazuoni wa Lebanon
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Lebanon amesema umoja wa Waisalu ni sera bora zaidi katika kukabiliana na maadui wanaouhujumu Uislamu na kuvunjia heshima matukufu yake.
Habari ID: 3473320 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02
Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza kufanyika mjini Tehran ukihudhuriwa na shakhsia 167 wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3473310 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/30
TEHRAN (IQNA) - Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatazamiwa kuanza Alhamisi kwa njia ya intaneti ambapo mada kuu itakuwa 'Ushirikiano wa Kiislamu Wakati wa Maafa na Majanga'.
Habari ID: 3473300 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/27
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika kwa njia ya intaneti na kujadili ushirikiano wakati wa maafa kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3 kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3473231 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/04
Kwa mnasaba wa Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika Novemba 11-13 katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
Habari ID: 3473178 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/17
TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatuma ujumbe wa wasomaji Qur’ani katika nchi saba duniani kwa munasaba wa Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Maulidi ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471290 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/01
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa 31 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umepangwa kufanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran kwa kuhudhuriwa na wageni 300 kutoka nchi 93 duniani.
Habari ID: 3471288 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/30
TEHRAN (IQNA)-Sheikhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed el-Tayeb amealikwa kuhudhuria Mkutanowa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaofanyika wiki ijayo mjini Tehran, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471286 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/28
IQNA-Kongamano la 30 la Kimataifa la Umoja kati ya Kiislamu limeanza asubuhi ya leo mjini Tehran huku maudhui kuu ikiwa ni udharura wa kupambana na makundi ya kitakfiri.
Habari ID: 3470744 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/15
Kwa munasaba wa kuanza Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa dini na madhehebu mbali mbali hapa nchini umesaidia kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.
Habari ID: 3470737 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/12