Sayyid Hassan Nasrullah
Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah, amekosoa kughafilika kwa nchi za Kiislamu juu ya hatari ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ambao ni tishio kwa Lebanon, palestina na ulimwengu mzima.
Habari ID: 1376427 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/17
Shirika Kubwa la Bima (re-insurance au bima mara ya pili) ya Kiislamu linatazamiwa kuanzishwa Kenya baadaye mwaka huu kwa lengo la kutoa huduma kwa mashirika ya bima ya Kiislamu ijulikanayo kama Takaful nchini humo.
Habari ID: 1374704 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/13
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu amesema kuhusiana na mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani kwamba, mazungumzo hayo yanaweza kutatua masuala yote kama nchi za Magharibi zitaacha kutoa visingizio.
Habari ID: 1373535 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/10