iqna

IQNA

halal
Waislamu Ulaya
IQNA - Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu ilikataa rufaa dhidi ya sheria nchini Ubelgiji zinazopiga marufuku nyama ya Halal na Kosher.
Habari ID: 3478349    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Sekta ya Halal
IQNA - Waziri wa Biashara wa Saudi Arabia Majid bin Abdullah Al-Qasabi amielezea sekta ya ‘Halal’ kama moja ya sekta zinazokua kwa kasi zaidi duniani.
Habari ID: 3478257    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26

Uchumi Halal
ISTANBUL (IQNA) - Mamia ya makampuni na mashirika yanayoongoza kutoka nchi 40 yanashiriki katika Mkutano wa Halal wa Dunia na Maonyesho ya Halal ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), ambayo yalifunguliwa Alhamisi huko Istanbul, ili kuonyesha bidhaa na huduma zao katika soko la halal la kimataifa, lenye thamani ya zaidi ya dola trilioni 7.
Habari ID: 3477940    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Sekta ya Halal
LONDON (IQNA) - Kampeni ya kupigia debe nyama ya 'Halal', yaani iliyochinjwa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, nchini Uingereza imezinduliwa.
Habari ID: 3477651    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25

Sekta ya Halal
TEHRAN (IQNA) – Warsha kuhusu sekta ya chakula Halal imepangwa kuandaliwa katika mji mkuu wa Libya wa Tripoli na Wizara ya Uchumi na Biashara ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476526    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/07

TEHRAN (IQNA) – Tatizo la chakula katika mikahawa ya shule nchini Ufaransa ni keri kubwa kwa wazazi wengi wa wanafunzi Waislamu.
Habari ID: 3475982    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/24

Qur’ani Tukufu Inasemaje/30
TEHRAN (IQNA) - Kila dini ina vigezo fulani juu ya aina gani ya chakula wafuasi wake wanaweza kula na nini wengine wanapaswa kuepuka.
Habari ID: 3475889    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

Sekta ya Halal
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza, serikali ya Libya imeanzisha kamati ya bidhaa na huduma Halal na kubainisha majukumu yake.
Habari ID: 3475669    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23

Sekta ya Halal
TEHRAN (IQNA)- Warsha na maonyesho ya kimataifa kuhusu tasnia ya Halal itafanyika nchini Nigeria mwezi ujao.
Habari ID: 3475548    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27

Soko la 'Halal'
TEHRAN (IQNA) – Makampuni ya chakula ya Korea Kusini yanatilia maanani soko la 'Halal' katika nchi mbalimbali.
Habari ID: 3475411    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22

Bidhaa Halal
TEHRAN (IQNA) – Waliokuwa wakitaka marufuku uchinjaji nyama kwa msingi wa dini za Kiislamu na Kiyahudi nchini Ubelgiji wamepata pigo baada ya mswada wao kushindwa katika mji mkuu wa Brussels.
Habari ID: 3475395    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/19

Bidhaa Halal
Tehran (IQNA)-Mauzo na matumizi ya bidhaa ‘Halal’, hasa vyakula na bidhaa za urembo, yanaongezeka nchini Msumbiji, kama ilivyo katika sehemu nyingine za dunia.
Habari ID: 3475388    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17

TEHRAN (IQNA)- Orodha ya maeneo yenye huudma na bidhaa Halal katika mji wa New York, Marekani imechapishwa kwa lengo la kuwasaidia wenyeji na watalii Waislamu katika jiji hilo ambalo ni makao makuu ya Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3475256    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/16

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya kipekee kwa ajili ya wanaotaka mtindo wa kimaisha ambao ni ‘Halal’ katika eneo la Amerika Kaskazini yanafanyika wiki hii nchini Canada kwa lengo la kuwaunganisha watenda na mashirika yanayojishughuisha na bidhaa na huduma Halal.
Habari ID: 3475233    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/10

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa London wanasubiri kwa hamu tamasha la chakula na ununuzi linalotarajiwa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu - na takriban watu 20,000 watahudhuria.
Habari ID: 3475073    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24

TEHRAN (IQNA)- Bidhaa ‘Halal’ na hasa vyakula vinazidi kupata umaarufu nchini Russsia, nchi kubwa zaidi duniani.
Habari ID: 3474951    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/20

Waziri wa Teknolojia Pakistan
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Sayansi na Teknolojia Pakistan amesema soko la sekta halal i duniani linastawi kwa kasi na yamkini pato lake likafika matrilioni ya dola katika mustakabli wa karibu.
Habari ID: 3474721    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/25

TEHRAN (IQNA)- Afisa mmoja wa ngazi za juu nchini Malaysia amesedma nchi za Afrika zinaweza kunufaika na soko kubwa la sekta ya chakula ‘Halal’ duniani yenye thamani ya dola bilioni 739.
Habari ID: 3474393    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/07

TEHRAN (IQNA) – ‘Wiki ya Halal’ imeandaliwa kwa mara ya kwanza huko Taiwan kwa lengo la kuarifisha bidhaa na huduma ambazo zimetayarishwa kwa kuzingatia mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3474310    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18

TEHRAN (IQNA)- Sekta ya bidhaa na huduma ‘Halal’ duniani ina thamani ya zaidi ya dola trilioni 3 na inawakilisha moja ya sekta zenye mustakabali mwema.
Habari ID: 3474193    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/15