iqna

IQNA

halal
TEHRAN (IQNA) - Mkutano mkubwa wa kiuchumi kati ya Russia na nchi za Kiislamu maarufu kama Mkutano wa Kazan 2021 ulimalizika Ijumaa katika mji mkuu wa jamhuri ya Tatarstan katika Shirikisho la Russia
Habari ID: 3474145    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/31

TEHRAN (IQNA)- Shirika la kimataifa la usafirishaji mizigo la Nippon Express la Japan limeanzisha huduma mpya ya usafirishaji mizigio ambayo inazingatia mafundisho ya Uislamu na hivyo imepewa anuani ya 'Halal'.
Habari ID: 3473744    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/17

TEHRAN (IQNA) – Chanjo ya COVID-19 au corona inayosuburiwa kwa hamu, haina haja ya kupata cheti cha ‘Halal’ kabla ya kutumika nchini Malaysia, amesema mkurugenzi mkuu wa Wizara ya Afya nchini humo Daktari Noor Hisham Abdullah.
Habari ID: 3473439    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/09

TEHRAN (IQNA) – Korea Kusini imetangaza mpango wa kuzinduliwa televisheni itakayojulikana kama ‘Halal TV’ kwa lengo la kuwavutia watalii Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3473152    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/09

TEHRAN (IQNA)- Bunge la Uingereza, House of Commons, litaanza kuuza chakula Halali, ambacho kimetayarishwa kwa misingi ya mafundisho ya Kiislam, kuanzia Machi 30 kufuatia ombi la wabunge Waislamu.
Habari ID: 3472568    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/15

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Ustawi wa Kiislamu Malaysia (Jakim) imetangaza kuwepo ongezeko la asilimia 10 la bidhaa halal i zinazouzwa kimataifa kutoka nchi hiyo.
Habari ID: 3471649    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/27

TEHRAN (IQNA)- Kuna idadi kubwa ya Waislamu ambao wako nchini Russia kushiriki au kutazama mechi za Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2018 na moja kati ya changamoto kubwa ni kupata chakula halal i, lakini tatizo hilo limetatuliwa kwa kutumie teknolojia ya kisasa.
Habari ID: 3471563    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/18

TEHRAN (IQNA) – Katika nchi za Kiislamu kwa kawaida huwa huwa hakuna tatizo kupata chakula au bidhaa halal i.
Habari ID: 3471432    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18

TEHRAN (IQNA)-Mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini unatekeleza sera za kuwavutia watalii wa tamaduni na dini mbali mbali na kwa msingi huo kuna mpango maalumu wa kuwavutia watalii Waislamu katika fremu ya Utalii Halali.
Habari ID: 3471356    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/16

TEHRAN (IQNA)-Japan inaibuka kama nchi yenye watalii wengi Waislamu kutokana na huduma inazotoa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu hasa chakula halal i.
Habari ID: 3471228    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/23

TEHRAN (IQNA)-Tamasha la Chakula Halal limefanyika mjini London kwa mafanikio kati ya Agosti 19-20.
Habari ID: 3471135    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/21

TEHRAN (IQNA)-Tamasha la Chakula Halal mjini Toronto, Canada, ni tamasha kubwa zaidi la chakula Halal eneo la Amerika Kaskazini na mwaka huu limewavutia Waislamu wengi waliojivunia mafanikio yao katika jamii.
Habari ID: 3471073    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18

TEHRAN (IQNA)-Kenya imeazimia kuimarisha utalii 'Halal' ambao unalenga kuwavutia watalii Waislamu kwa kutoa huduma ambazo zinazingatia mfundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3470962    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/30

TEHRAN (IQNA)-Mji mkuu wa Kenya, Nairobi leo ni mwenyeji wa mkutano wa siku mbili ambao unachunguza namna nchi hiyo inaweza kunufaika na uchumi wa Kiislamu au uchumi Halal ambao unashika kasi duniani.
Habari ID: 3470929    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/10

IQNA-Kenya imeanzisha mkakati wa huduma za 'Halal' za kitalii kwa ajli ya ongezeko la watalii Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470832    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/04

IQNA-Kenya itakuwa mwenyeji wa maonyesho ya kwanza ya kimatiafa ya bidhaa na huduma halal i eneo la bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Habari ID: 3470653    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05

Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Malaysia yametoa wito wa kususiwa bidha za chokleti za Shirika la Cadbury baada ya uchunguzi wa DNA kubaini kuwa kuna vipande vidogo vidogo sana vya nyama ya nguruwe katika bidhaa za shirika hilo la kutengeneza chokleti.
Habari ID: 1412085    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/29