Uislamu na Ukriso
TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumkabidhi ujumbe wa maneno kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3475324 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/01
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu Iran Ayatullah Alireza Arafi alikutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis.
Habari ID: 3475317 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31
TEHRAN (IQNA)- Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemwandikia barua Ayatullah Ali Sistani kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq kumpongeza na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuitetea na kuihami Palestina katika mkutano wake na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Habari ID: 3473733 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/14
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Jumamosi alisikiliza qiraa ya Qur'ani katika mji wa kale mji wa Ur Kaśdim kaskazini mwa Iraq, eneo ambalo inaaminika alizaliwa Nabii Ibrahim (Abraham) –Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake.
Habari ID: 3473714 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameitembelea Iraq katika safari ya kihistoria ambayo pia ni safari yake ya kwanza ya kimataifa tangu kuibuka janga la COVID-19.
Habari ID: 3473708 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amekutana na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ambapo katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3473707 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06
TEHRAN (IQNA)- Ujumbe kutoka makao makuu ya Kanisa Katoliki Duniani, Vatican, umetembelea Haram Takatifu ya Imam Ali AS mjini Najaf, Iraq.
Habari ID: 3473645 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/12
TEHRAN (IQNA) - Baraza kuu la kutekeleza malengo ya Waraka wa Urafiki wa Kibinadamu baina ya Taasisi ya Al-Azhar ya Misri na Vatican limetoa wito kwa viongozi na wafuasi wa dini zote duniani kuainisha Mei 14 kama siku maalumu ya duaa na maombi kwa ajili ya kumuomba Mwenyezi Mungu ainusuru dunia kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3472733 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/04
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa vyuo vya kidini katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia barua Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, na kusema vyuo vya kidini Iran viko tayari kubadilishana uzoefu na vyuo vya kidini na viongozi wa dini za mbinguni kote duniani.
Habari ID: 3472634 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/05
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Kituo cha Kiislmau cha Al Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed el Tayeb amekutana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Ijumaa mjini Vatican.
Habari ID: 3472221 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/18
TEHRAN (IQNA)- Sheikhe Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed al-Tayeb amemtumia salamu za Krismasi, Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani.
Habari ID: 3471782 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/22
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC, Yousef bin Ahmad al-Othaimeen amekutana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis na kumshukuru kwa msimamo wake kuhusu Waislamu Warohingya na suala la uhamiaji.
Habari ID: 3471431 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/17
IQNA-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimempongeza Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis kwa msimamo wake wa kulaani mauaji na ukandamizaji wa Waislamu nchini Myanmar.
Habari ID: 3470843 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/11