iqna

IQNA

ethiopia
Waislamu Ethiopia
TEHRAN (IQNA)- Mvutano unaendelea nchini Ethiopia kuhusu mpango tata wa kubomoa misikiti nchini humo, huku watu watatu wakiuawa katika mapigano ya hivi punde siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477088    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03

Waislamu Afrika
TEHRAN (IQNA)- Watu wawili wameuawa wakati askari polisi walipowashambulia Waislamu walioandamana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kupinga kubomolewa misikiti yao zaidi ya 19 katika eneo la kandokando ya mji huo.
Habari ID: 3477063    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/29

Waislamu katika Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu la Ethiopia limefanya hafla kubwa zaidi ya Iftar au Futari katika uwanja wa Al-Thaura mjini Addis Ababa, mji mkuu wa nchi hiyo, wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476844    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/10

Mashindnao ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 4 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Ethiopia yaliandaliwa katika mji mkuu wa Addis Ababa siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476630    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/26

Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amepokea Tuzo ya 2022 ya Mfumo wa Kifedha wa Kiislamu ya Kimataifa kwa juhudi zilizofanywa katika kurekebisha sekta ya fedha ya Ethiopia na kuifanya iwe jumuishi.
Habari ID: 3475796    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17

TEHRAN (IQNA) - Mshiriki kutoka Morocco ametwaa tuzo ya juu katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Ethiopia.
Habari ID: 3475375    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amebainisha masikitiko yake juu ya mapigano makali ya hivi karibuni kati ya Waislamu na Wakristo wa Orthodox nchini Ethiopia, ambapo takriban watu 30 waliripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Habari ID: 3475226    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09

TEHRAN (IQNA)- Genge moja la magaidi wa Kikristo lililokuwa limejizatiti kwa silaha nzito limewavamia na kuwaua Waislamu zaidi ya 20 katika mji wa Gondar wa kaskazini mwa Ethioia wakati Waislamu wao walipokuwa kwenye maziko ya mzee mmoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3475181    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/28

TEHRAN (IQNA)- Huku Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukikaribia, wanafunzi 700 wamehitimu somo la kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu ambapo wote waliofuzu watatumwa katika misikiti mbali mbali nchini humo.
Habari ID: 3475071    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ethiopia imepinga vikali uingiliaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) mgogoro wake mrefu na Misri pamoja na Sudan kuhusu ujenzi wa bwawa kubwa la maji katika Mto Nile.
Habari ID: 3474075    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/06

TEHRAN (IQNA) - Mayahudi wengine 300 wa Ethiopia ambao ni maarufu kwa jina la Mafalasha wamehamia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ambazo zimepewa jina bandia la Israel.
Habari ID: 3473730    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/12

TEHRAN (IQNA) - Ndege a kivita za Ethiopia zilivuka mpaka na nchi jirani ya Sudan katika kile ambacho Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imekitaja kuwa ni taharuki hatari na isiyo na sababu.
Habari ID: 3473555    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/14

TEHRAN (IQNA) – Baraza Kuu la Kiislamu Ethiopia limetaka wale wote waliohusika katika kuuhujumu na kuuharibu Msikiti wa al-Najashi katika eneo la Tigray waadhibiwe.
Habari ID: 3473537    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/08

TEHRAN (IQNA)- Mtafiti kutoka Ethiopia amekusanya vitabu na makala za kale za Kiislamu na Kiarabu.
Habari ID: 3473009    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/28

TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelefu ya Waislamu wameandamana katika miji kadhaa nchini Ethiopia kulaan hujuma za hivi karibuni dhidi ya misikiti katika eneo lenye Wakristo wengi la Amhara kaskazii mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472298    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/24

TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Kiislamu ya Diyanet (TDV) ya Uturuki imechapisha tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiamhara ya Waislamu wa Ethiopia.
Habari ID: 3471970    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/24

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Ethiopia wanaendelea kunufaika na huduma za Kiislamu katika taasisi za kifedha nchini humo.
Habari ID: 3471901    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/06

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al-Nejashi nchini Ethiopia, unaoaminika kuwa msikiti kwa kwanza kujengwa barani Afrika, umekarabatiwa.
Habari ID: 3471718    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/24

TEHRAN (IQNA)-Wataalamu wa akiolojia wamegundua mji wa kale wa Kiislamu ambao ulikuwa kituo cha kibiashara zaidi ya miaka 1,000 iliyopita
Habari ID: 3471024    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/18

Waislamu katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa wamemiminika kwa wingi misikitini katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kiasi kwamba baadhi ya barabara zinafungwa kutoa nafasi ziada kwa wanaoswali.
Habari ID: 3325727    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/07