Ulimwengu wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Makundi mbalimbali ya kieneo yamekaribisha makubaliano ya kurejesha tena uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3476692 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/11
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwa mataifa yanayozungumza Kihispania
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika salamu zake kwa mataifa yanayozungumza Kihispania juu ya kuzidi kujuana na kushirikiana mataifa yanayotetea haki na uadilifu.
Habari ID: 3476691 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/11
Ulimwengu wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia zimefikia makubaliano ya kurejesha uhusiano wao wa kidiplomasia na kufungua tena balozi, miaka saba baada ya kuvunjika uhusiano huo kutokana na masuala kadhaa.
Habari ID: 3476685 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/10
Rais wa Ebrahim Raisi wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran iko tayari kuzipatia nchi za Afrika elimu na teknolojia mpya ili kurahisisha ushiriki wa sekta binafsi katika uhusiano wa pande mbili.
Habari ID: 3476678 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Mtaalamu wa Qur'ani Tukufu kutoka Kuwait ambaye alikuwa katika jopo la majaji wa kitengo cha wanawake cha Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesema mashindano hayo yanaweza kuwa mfano wa kuigwa na nchi zingine ambazo huandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476619 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) – Hafidh wa Qur’ani Tukufu kutoka Gambia amesifu kiwango kizuri na usawa alioushuhudia katika Mashindano ya 39 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476617 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24
Mazungumzo ya Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO) Hujjatul Islam Mohammad Mehdi Imanipour na Patriaki Kirill wa Moscow wamefanya mazungumzo katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3476612 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/23
Rais wa Iran katika shehre za kufunga Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Iran Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu Iran amesema Iran inaweza kuwa mji mkuu wa kukuza utamaduni wa Qur'ani Tukufu duniani.
Habari ID: 3476610 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/23
Taazia
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejiunga na maafisa wengine wa Iran katika kutoa mkono wa pole kufuatia kifo cha balozi wa miaka mingi na mkongwe wa Palestina, hapa nchini Iran. Balozi Salah al Zawawi alifariki dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 85 katika hospitali moja ya hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3476600 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Pakistani ambaye anashiriki katika fainali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesifu kiwango cha juu cha mashindano hayo.
Habari ID: 3476598 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumamosi Alasiri mjini Tehran.
Habari ID: 3476582 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18
Kongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezikosoa nchi za Kiislamu kwa kutochokua hatua yoyote ya maana juu ya kadhia ya Palestina.
Habari ID: 3476581 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya awali ya mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wakimbizi wa Afghanistan wanaoishi nchini Iran ilifanyika katika mji mtakatifu wa wa Qom nchini Iran ambapo kulikuwa na washiriki 370.
Habari ID: 3476574 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17
Rais wa Iran katika Chuo Kikuu cha Peking
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mfumo Mpya wa Utawala wa Dunia unaibuka huku bara la Asia likiwa kitovu chake na kwamba utachukua nafasi ya ule wa awali.
Habari ID: 3476568 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/15
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran ) Mohammad Baqer Qalibaf ataongoza hafla ya uzinduzi wa duru ya mwisho ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476562 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14
Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN(IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina, Ziyad al-Nakhalah amemtumia ujumbe Kiongozi Muadhamu wa Mapiinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei akimpongeza kwa mnasaba wa kutimia miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
Habari ID: 3476551 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Maadhimisho ya miaka 40 ya kuasisiwa Idhaa ya Qur'ani ya Iran yamefanyika katika hafla iliyofanyika hapa Tehran siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3476548 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/11
Mwaka wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusiana na mafanikio yaliyopatikana nchini katika nyuga mbalimbali za sayansi, teknolojia, uchumi, ulinzi, afya na tiba kwamba adui hawezi kuyavumilia maendeleo na hatua ilizopiga Iran
Habari ID: 3476543 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/11
Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, matembezi ya Bahman 22 (Febrauri 11) ambayo yatafanyika kesho Jumamosi katika kona zote za Iran kuadhimisha mwaka wa 44 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu yatakuwa ni muhuri wa ushindi wa wananchi wa Iran ya Kiislamu dhidi ya njama zote za maadu
Habari ID: 3476541 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waandaaji wametangaza ratiba ya fainali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ambayo yanatarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3476538 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/09