Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, matembezi ya Bahman 22 (Febrauri 11) ambayo yatafanyika kesho Jumamosi katika kona zote za Iran kuadhimisha mwaka wa 44 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu yatakuwa ni muhuri wa ushindi wa wananchi wa Iran ya Kiislamu dhidi ya njama zote za maadu
Habari ID: 3476541 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waandaaji wametangaza ratiba ya fainali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ambayo yanatarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3476538 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/09
Misaada kwa Syria
TEHRAN (IQNA)- Shehena ya tano ya misaada ya kibinadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa watu waliokumbwa na mitetemeko ya ardhi nchini Syria iliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus mapema leo Alhamisi.
Habari ID: 3476537 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na mamia ya makamanda na wafanyakazi wa Kikosi cha Anga na Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran na kusema: "Bahman 22 (11 Februari) mwaka huu itakuwa madhihirisho ya umoja wa kitaifa," na kuongeza kuwa, "Bahman 22 mwaka huu itakuwa ni dhihirisho la izza na kuaminiana wananchi pamoja na umoja wa kitaifa."
Habari ID: 3476530 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08
Mwaka wa 44 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Warsha ya kimataifa inatazamiwa kufanyika siku ya Jumatano kwa njia ya intaneti kwa lengo la kujadili Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3476527 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/07
Kwa mnasaba wa maadhimisha ya mwaka wa 44 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezuru haram toharifu ya Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kumuenzi na kumsomea Faatiha kiongozi huyo mwenye adhama kubwa wa taifa la Iran.
Habari ID: 3476493 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika kikao chake na mamia ya wazalishaji, wajasiriamali na wanaharakati katika nyuga zinazoegemea elimu kuwa, mustakbali wa taifa na matarajio ya maendeleo ya Iran ni angavu zaidi kuliko utabiri wa hivi sasa.
Habari ID: 3476491 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30
Wasomi wa Afrika Kusini
TEHRAN (IQNA) – Wasomi wa Afrika Kusini wamesema vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu ambavyo vimeshuhudiwa barani Ulaya hivi karibuni vinapaswa kulaaniwa.
Habari ID: 3476486 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30
Iran ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Baada ya kuswali Sala ya Ijumaa, wananchi kote katikaa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejitokeza mitaani na kulaani hatua za hivi karibuni za nchi za Magharibi na Ulaya zikiongozwa na Marekani za kudhalilisha matukufu ya Kiislamu na kuliwekea vikwazo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Habari ID: 3476471 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/27
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejiunga na ulimwengu wa Kiislamu katika kulaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden (Usiwidi).
Habari ID: 3476444 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/22
Harakati za Qur'ani Kimataifa
TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Malaysia amesema nchi hizo mbili zinatarajia kuendelea kutumia 'Diplomasia ya Qur'ani Tukufu' kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa pande hizo mbili.
Habari ID: 3476435 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20
Jinai za utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Januari 19 inatambuliwa katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni "Siku ya Ghaza" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya vita vya siku 22 vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza (Gaza) huko Palestina.
Habari ID: 3476430 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/19
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Jopo la waamuzi wa Mashindano ya 45 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran limetangaza majina ya washindi katika sehemu ya wanaume na wanawake ya mashindano hayo.
Habari ID: 3476428 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/19
Ulinganiaji
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei ameitaja mipango ya kuendeleza bidhaa za kitamaduni kwa kuzingatia fikra mpya na ufahamu wa matakwa ya kijamii na kiutamaduni kama jukumu muhimu la mashirika ya kitamaduni nchini Iran.
Habari ID: 3476426 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Mchakato wa tathmini katika duru ya mchujo ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ilihitimishwa Jumanne.
Habari ID: 3476425 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindani wanaendelea kuonyesha vipaji vyao katika duru ya mwisho ya toleo la 45 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3476402 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/14
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija na Ziara za Kidini amesema Wa iran i 85,000 wanatazamiwa kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu kufuatia mapatano na Saudi Arabia.
Habari ID: 3476397 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran, ameashiria hatua ya jarida moja la Ufaransa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema: Maadui wanataka kuzima nuru ya Uislamu lakini kwa neema ya Mwenyezi Mungu na nuru hii haiwezi kuzimwa kwa na ni wazi kuwa mzizi wa matusi haya ni uadui dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3476396 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imetangaza majina ya wataalamu wa Qur'ani watakaohudumu katika majopo ya majaji wa mashindano hayo.
Habari ID: 3476380 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja matukio ya mabadiliko ya historia kuwa yana uzoefu mkubwa wa kujifunza au yanaashiria sunna ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476379 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/09