Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza utayarifu kamili wa muqawama katika nyanja mbalimbali na kuutaja ushindi wa mwisho wa muqawama na kushindwa adui Mzayuni kkwamba, ni hakika na jambo lisilo la shaka.
Habari ID: 3477936 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24
Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amewaandikia barua wakuu na viongozi wa nchi 50 duniani kuwahimiza kuwa na kauli moja kuhusu wajibu wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Gaza.
Habari ID: 3477919 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/20
Watetezi wa Palestina
TEHRAN (IQNA)- Watu wa Iran ya Kiislamu jana Jumamosi walishiriki katika maandamano makubwa kote nchini kuwatetea watoto wanaoendelea kuuawa wa Palestina sambamba na kulaani "mauaji ya watoto wachanga", "uhalifu", "mauaji ya kimbari", "mauaji ya halaiki", "ugaidi", "uhalifu wa kivita" na "maafa ya binadamu" yanayoendelea katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477915 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/19
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Idadi ya nchi zinazotarajiwa kushiriki katika toleo lijalo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ni zaidi ya 90, imedokezwa.
Habari ID: 3477801 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/28
TEHRAN (IQNA) – Qari wa kimataifa wa Iran Alireza Bijani hivi karibuni amesoma aya za 63 hadi 71 za Surah Al-Furqan katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477798 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mufti wa zamani wa Tanzania alisisitiza haja ya Waislamu kuimarisha umoja wao ili kuweza kukabiliana na kuzima njama na njama za adui.
Habari ID: 3477692 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/06
Wageni walioshiriki katika Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu walitoa heshima zao kwa Imam Khomeini (R.A.) kwa kuhudhuria haram ya mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3477685 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/02
Haki za Wanawake katika Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran anasema tofauti na Iran, nchi za Magharibi zimekuwa zikikiuka haki za binadamu kwa kuwatumia wanawake kama chombo cha mashinikizo dhidi ya mataifa huru.
Habari ID: 3477684 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/02
Watetezi wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Serikali ya Uswidi inatakiwa kujibu matakwa ya wazi kabisa ya Waislamu kwa kuwajibika na kufuata kikamilifu kanuni za kimsingi za haki za binadamu, kwa kuhimiza maadili na kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti na kuchukua hatua za kivitendo na zenye ufanisi.
Habari ID: 3477679 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01
Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo la kusalimu amri na kufanya mapatano kiudhalili halipo tena mezani na kwamba wale wanaoweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni kujitumbukiza kizazi.
Habari ID: 3477677 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01
Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limeanza leo jijini Tehran kwa hotuba ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3477676 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01
Umoja wa Waislamu
BERLIN (IQNA) - Balozi wa Iran nchini Ujerumani na Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha al-Azhar ncini Misri walikutana mjini Berlin kujadili masuala muhimu yanayoukabili ulimwengu wa Kiislamu na jinsi ya kustawisha umoja na mshikamano kati ya Waislamu.
Habari ID: 3477590 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumatatu ameonana na wananchi wa mikoa miwili ya "Sistan na Baluchistan" na ule wa "Khorasan Kusini" na kusisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama imara na kwa nia isiyotetereka katika kukakbiliana na adui.
Habari ID: 3477583 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11
Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Katika kikao na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi ya Shahidi Jenerali Soleimani katika kuimarisha usalama wa eneo hili mbele ya Uzayuni na ugaidi.
Habari ID: 3477532 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ulimwengu wa Kiislamu ambao una umoja na mshikamano ndicho kizingiti kikubwa zaidi kwa ubeberu wa dunia.
Habari ID: 3477530 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Denmark imeamua kupiga marufuku kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kufuatia taathira mbaya za hatua hizo.
Habari ID: 3477492 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/25
Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Muungano wa kiuchumi wa BRICS wa masoko yanayoibuka duniani umeamua kutoa mialiko ya uanachama kwa mataifa sita.
Habari ID: 3477490 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran amesema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ni taasisi kubwa zaidi ya kupambana na ugaidi duniani ambayo inafanya mambo makubwa ya kupigiwa mfano ambayo majeshi makubwa duniani yanashindwa kuyafanya.
Habari ID: 3477453 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18
Diplomasia
NEW YORK (IQNA)- Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa taarifa inayolaani shambulio la hivi karibuni la kigaidi katika Haram Takatifu ya Hadhrat Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh mkoani Fars kusini mwa Iran.
Habari ID: 3477449 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/17
Hujuma ya kigaidi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran Ebrahim Raisi amewaagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Ahmad Vahidi na Gavana wa Mkoa wa Fars Mohammad Hadi Imaniyeh wawatambue haraka na kuwaadhibu wahusika wa shambulio la kigaidi katika Haram Takatifu ya Hadhrat Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh mjini Shiraz kusini mwa Iran.
Habari ID: 3477434 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/14